MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,074
Amwambie wakati mkewe ndio breadwinner hajitaki! Ndio maana mwenzio anaishia kupumulia humu..
hahahahah nimecheka sana jaman
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amwambie wakati mkewe ndio breadwinner hajitaki! Ndio maana mwenzio anaishia kupumulia humu..
We ukiona mume wako unamlisha unadhani kila mwanaume ameolewa kama mumeo?Amwambie wakati mkewe ndio breadwinner hajitaki! Ndio maana mwenzio anaishia kupumulia humu..
Mhhmm mtoto umeumbika I hope wewe ukipika utumii mafuta mengiAsa sie watu wa pwan ambao kila kitu naz waume zetu wasemeje... Sema na mke wako maandiko hapa hayakusaidii kitu
Nini tena shogaangu [emoji28][emoji28]hahahahaha ney jaman dah
Pole sana, ongeza juhudi!We ukiona mume wako unamlisha unadhani kila mwanaume ameolewa kama mumeo?
Kosa la wazazi kutokufundisha mabinti zao kupika.
Unatengewa chakula mezani kila ukizungusha macho yako kwenye chakula SUMU TUPU
Kesho kiharusi hicho ofisini.
Na misibani wanalia kama ving'ora vya msafara wa rais kumbe wameua bila kukusudia
Tatizo la wanaume wa kiafrika mmekariri kua mwanamke tu ndo anatakiwa akae nyumbani apike. Top chef duniani top 10 wote ni wanaume, ukiangalia top 100 utakuta wanawake chini ya 20%. Kama unaona tatizo ni mafuta nyumbani kwako nenda kwa huyo mwanamke wako uliyemgeuza mtumwa mwambie apunguze mafuta. Wengine tunapika wenyewe hatutegemei wanawake kutupikia.
Marioo utawajua tu...sasa kama mkeo ndiye anayeleta chakula nyumbani wewe hauna jinsi lazima akuburuze upike ,ufue nk..ukijifanya mbishi atakutimua
Wewe kujipikia usiifanye iwe justification ya wanawake kutumia mafuta mengi.Tatizo la wanaume wa kiafrika mmekariri kua mwanamke tu ndo anatakiwa akae nyumbani apike. Top chef duniani top 10 wote ni wanaume, ukiangalia top 100 utakuta wanawake chini ya 20%. Kama unaona tatizo ni mafuta nyumbani kwako nenda kwa huyo mwanamke wako uliyemgeuza mtumwa mwambie apunguze mafuta. Wengine tunapika wenyewe hatutegemei wanawake kutupikia.
Ndiyo hivyo unatengewa sumu mezani kesho kifoUwiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Marioo utawajua tu...sasa kama mkeo ndiye anayeleta chakula nyumbani wewe hauna jinsi lazima akuburuze upike ,ufue nk..ukijifanya mbishi atakutimua