Eddy Love
JF-Expert Member
- Jul 25, 2011
- 13,654
- 8,564
Unakuta mwanamke hujawai kutembea naye wala kumfanyia baya lolote lile lakini bahati mbaya mahusiano yamevunjika tu ghafla, hakuna mawasiliano pande zote mbili lakini siku unamuona online umemtumia tu ujumbe wa kumsalimu povu linamtoka vibaya na tena haliishii hapo atatoa nyuzi zinazokuhusu wewe kila kukicha kwenye mitandao ya kijamii na unajaribu kuomba myamalize ili mtoe tofauti zenu bado povu linamtoka.
Je, hii inamaanisha nini?
Je, hii inamaanisha nini?