Wanawake hivi mkiachana kwenye mapenzi ni lazima muwe maadui?

Wanawake hivi mkiachana kwenye mapenzi ni lazima muwe maadui?

Pole sana...

Unachoongelea hapo ni mwanamke yule uliyekuwa nae kwenye mahusiano... Ukatembea nae na ukamtelekeza.. Hapo ukirudi lazima akupe za uso...


Cc: mahondaw
 
Hapo hapo Mimi kila mwezi mwanaume niliye achana nae hawezi pitisha hajanitukana jmn alfu sasa akikaa wiki anakuja kukuomba samahani anaanza kukumbushia mapnz yenu yalivyokuwa yani anachosha vby
Wangapi wameshakufanyia hivyo?
 
Anagua kichaa labda..!kichaa cha mapenzi
 
Aaanhaa,,,
nategemea haya yanikute maana niko katika stage ya kumuacha.
 
Hata c watoto wa kiume tulikuwaga na tabia ya ukitongoza dem akikataa unamtukana na makofi juu
 
Back
Top Bottom