Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siraha yake mwanamke ni mdomo,..
Kumbe you have been in a relationship back in the daysHapo hapo Mimi kila mwezi mwanaume niliye achana nae hawezi pitisha hajanitukana jmn alfu sasa akikaa wiki anakuja kukuomba samahani anaanza kukumbushia mapnz yenu yalivyokuwa yani anachosha vby
Nimejaribu Ku imagine ulipata mchambo wa daladala za mbagala nyomi wanaacha kinda chini?Mbona wanicheka sasa. ?
labda wew ni pesa ndo uwe unasemwa kila mahal,usiwe na tabia ya kuhisi kuwa unasemwa, kuna wengine wanaposti ili kuona watu wanamitaxamo gan,hakun MTU mwenyeakili timam anapoteza muda wake kumsema MTU,Unakuta Mwanamke Hujawai Kutembea Naye Wala Kumfanyia Baya Lolote Lile Lakini Bahati Mbaya Mahusiano Yamevunjika Tu Ghafla,Hakuna Mawasiliano Pande Zote Mbili Lakini Siku Unamuona Online Umemtumia Tu Ujumbe Wa Kumsalimu Povu Linamtoka Vibaya Mno Tena Haliishii Hapo Atatoa Nyuzi Zinazokuhusu Wewe Kila Kukicha Kwenye Mitandao Ya Kijamii Na Unajaribu Kuomba Muyamalize Ili Mtoe Tofauti Zenu Bado Povu Lamtoka Je Hii Inamaanisha Nini?
[emoji16]Kumbe you have been in a relationship back in the days