Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

Wanawake hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔

Habari ndugu wanajf?

Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza.

Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? 🤔🤔
Ila hii nchi ni ngumu sana 😹😹😹
 
Wewe ndio hujanielewa.
Swali limeelekezwa kwa Wanawake. Inabidi tuwasikie wanawake wajibu.

Ila sio wewe usema HATUOI SINGLE MAZA.

Je Wanawake nao hawataki kuolewa na SINGLE FATHER?(lengo la uzi)
 
Habari ndugu wanajf?

Kuna mjadala uaendelea humu JF kuhusu single maza, wanaume kwa pamoja tumekubaliana HATUOI single maza.

Turudi kwenu wanawake, hivi na nyinyi mkikuta mwanaume ana mtoto mnakataa kuolewa naye?? [emoji848][emoji848]
Wengi wanakubali na kumshawishi single Baba amtelekeze mtoto [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
 
Ninaolewa nae vizuri saaaaanaa. Tena huyo/g
Hao watoto nitawapenda kama wanangu wa kuwazaa,Ila kuna baadhi ya vitu vya msingi ni lazima aviweke wazi ni muhimu
 
Ukweli ndio huo, me nimempenda baba yao hayo mengine ya kwao wao na mama zao!!
Na mama zao wakiwafundisha ujinga, nawapiga pin hakuna kwenda kwa mama zao wana tabia mbaya wataniharibia watoto wangu ( watoto wa mume)🤣🤣🤣🤣
Me ndio maza hausi wote wako chini yangu kasoro mume wangu
😉😉😉
 
Ninaolewa nae vizuri saaaaanaa. Tena huyo/g
Hao watoto nitawapenda kama wanangu wa kuwazaa,Ila kuna baadhi ya vitu vya msingi ni lazima aviweke wazi ni muhimu
Sawa sawa kipenzi, hakuna kupepesa macho
 
Khaaaa x huwa hatongozwi mara 2 wskikutana wanakiwasha tena trust me.....baba mtoto tena anapewa tena bila shida
 
Mwanaume ukikutana na mwanamke ana mtoto au watoto ukimuoa na kuishi nae jua hao watoto ni sehemu ya majukumu na wajibu wako wa malezi. Mwanamke hata wajibika kulipia hata mia kwa hao watoto utatakiwa kuwalea kama watoto wako.

Upande wa pili, wanaume sisi tukiwa na watoto tunazo option, tunaweza acha mtoto kwa bibi yake yaani bibi upande wa baba au mama.

Au tunaweza kaa na mtoto kwenye nyumba zetu na mama wa kambo akalea watoto bila shida maana mzigo wa gharama tunabeba wenyewe.

So ni ngumu sana kwa mwanamke mwenye mtoto kuleta watoto waliopatikana mahusiano ya awali kwenye mahusiano mapya sababu kuna mgogoro wa kimaslahi kinyume chake inawezekana na hakuna mgogoro wa kimaslahi kwa upande wa mwanamke unless yeye awe ndie bread winner wa familia.
 
Back
Top Bottom