Sasa hilo ni tatizo lake na sio langu, kwa nini sasa awe na mimi na hana hisia zozote nami?
Mi nna pepo la kupenda nadhani au moyo dhaifu, nilihamua kuwa mtu wa ku-hit and run nimechemka, nimenasa kwa mtoto wa kizigua, week iliyopita tumezinguana, akasema kama vipi tuachane, mi nikamuambia poa, kiukweli nilitokwa na jasho baadae, nikimpigia simu hapokei tena, msg hajibu, nikakodi boda hadi kwao kimara usiku wa saa nne, kufika kumuona ndio presha ikashuka baada mzee kuhamua kuwa mpole,
MOyo dhaifu ni hatari sana kwenye mapenzi,, yule mzigua ashagundua udhaifu wangu sasaivi ataniendesha sana, nataka nimuwai kwa sheikh fulani anipe kombe nimsahau nirudi kwenye mfumo wa kula na kusepa(hit &run),
Bro huwezi kumpa mwanamke mali aka ridhika labda awe ni mcha Allah.Kumridhisha kwenye 6*6 Hilo linafanywa na wanaume wengi
Lakini kumridhisha nafsi yake n matamanio yake Hilo haiwezekani
Bro huwezi kumpa mwanamke mali aka ridhika labda awe ni mcha Allah.
Mmmnh
Ahahha,kwanini mkuu!Ili uwe na moyo mgumu lazima utoe kafara kile ulichokipenda zaidi
Sometimes inatokea tu wala sio makusudiUkija kwangu uache kabisa maujinga yako hukohuko
Tupo tunaonaKumbe watoto hamjalala bado mpo machoπ
Ahahha,kwanini mkuu!
Ni kama kumtia demu mimba, ukijifanya ndio mtu wa ku care ooh mara baby what do you need...bby unajisikiaje? aisee hiyo mimba itawatesa kinoma. Ila ukikojoa na kusepa zako utashanga had manzi anajifungua hata kichefuchefu hapati.
Mkuu umeona unichanganye na mzee wakuzipukuchua kabisaπ π π
Hili nalo la msingi, kuwaambia vijana if hajakupenda usijaribu kumshawishiNa mwanamke asiye na hisia na wewe kumaliza upwiru wao sio Kazi ndogo
Hii n kweli kbs na ole wako ujikute umependA.
Yeah,nikweli mkuu,Hiyo ni KANUNI popote pale ulipo.
Huwezi kuwa na mtu unayempenda Sanaa hapohapo ukawa na Amani moyoni.