Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Huyo ni shetani ibilisi namba 71, katoka wale mabikira 72 wa peponiWivu wake ndio unamtuma. Hicho kitabu anataka kuwasagia kunguni wenzake😃
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni shetani ibilisi namba 71, katoka wale mabikira 72 wa peponiWivu wake ndio unamtuma. Hicho kitabu anataka kuwasagia kunguni wenzake😃
Kuna namna ya kudili navyoVi
Vinakomoa mikomoo iliyokomaa !
Huyo ni shetani ibilisi namba 71, katoka wale mabikira 72 wa peponi
Hivi alieleta neno upwiru ni naniWanawake wa hivyo mara nyingi unakuta ni upwiru tu usiomalizwa,ndio maana wanakua na tabia za hivyo.
Wanaturoga hawa viumbe mkuu!Hatari Sana Mkuu.
Huyo ulikuwa unampenda Sana
JiweHivi alieleta neno upwiru ni nani
Hakuna mwanamke shetani peke yake. Wanaume na wanawake wote ni mashetani yasiyojuana na kwa wakati wake.
Kuna wanaume na wanawake wanafanya mambo, naona na shetani anakubali kazidiwa. So stop hiyo wanawake ni mashetani. Kila mmoja ana ushetani wake na wa aina yake. Case closed.
Wanaturoga hawa viumbe mkuu!
Sijui mkuu mimi nimelijulia humu humu tu kwa kuuliza maana yake.Hivi alieleta neno upwiru ni nani
Mpaka leo bado kuna vijana mnateseka na mapenzi?WANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings. Usikubali!
Kuna wanawake Wana tabia ya kupelekesha wanaume wakijifanya ati Wana mood swings.
Mood swings ni hali ya hisia kutokuwa stable yaani kubadilikabadilika kwa Muda mfupi. Mara anakuwa kanuna, Mara anakuwa anahasirahasira, mara anasusa, mara hivi mara vile.
Wanawake wengi hata kama hajakasirika huweza kuigiza amekasirika na kuifanya hiyo kama mood swings yake ya Muda huo.
Wanaume wengi wamejikuta katika mateso hasa wale wanaoendekeza ujingaujinga wa mood swings za wanawake Zao.
Umetoka kazini umechoka, umerudi nyumbani mwanamke muda wote alikuwa na furaha, lakini aliposikia Geti au mlango unabisha anabadilika upesiupesi na kujinunisha, wakati siku nzima alikuwa anacheka.
Ukimuuliza atakuambia ameshinda vibaya, au asikujibu.
Sasa wanawake wa aina hii Sisi tunajua namna ya kudili nao.
Kwanza Kabisa tukishajua mwanamke ni wale wakujifanya Mood swinger's na Sisi tunakuwa mood swinger's zaidi Yao.
Yaani umerudi amenuna wewe unaingia zako ndani ukiwa unaimba haujali Wala nini wala humuulizi chochote. Unaenda bafuni unaoga, unaenda kupakua chakula kidogo Sana, kisha unatoka zako unarudi kitaa.
Ukirudi saa nne sa tano hiyo usiku unarudi umenuna zako unafokafoka mwenyewe vitu havieleweki. Lakini usimshirikishe. Kisha panda kitandani Lala!
Lakini kama utakuwa kama huna Muda na mambo hayo ya kuigizaigiza na michezo ya kaole kama siye. Na kama utakuwa busy Sana na maisha yaani unayachukulia maisha serious saaana! Basi mwambie huyo mwanamke, Tabia za mood swings na wewe ni mbinu na ardhi.
Anamachaguo mawili aache ujinga wake au kila mtu apite Njia yake.
Wanawake wengine hujifanya Hamnazo ndio hao mood swinger's sio ajabu akakutukana au akakupiga Kofi au kukufanyia jambo lolote la aibu alafu utamsikia
Akisema;
" Oooh! Muda ule nilikuwa vibaya, oooh! Mimi nikiwaga na hasira nakuwaga vile. Ooh! Mimi nikikerekaga nakuwaga na mambo ya ajabu"
Usikubali hayo maelezo yake. Piga chini.
Mimi binafsi niliwahi kuwaga na vidada virembo vya aina hiyo ambavyo kwenye mahusiano yao vilikuwa mood swinger's lakini vilipokuwa havikuonyesha hizo Tabia za kijingajinga.
Ni Sawa mtu akuambie demu Fulani anapenda pesa wakati kuna watu wanamla bure tena anatoa kwa ushirikiano wote.
Alafu haohao mood swinger's ndio haohao watakuambia Mimi siwezi kuwa na mwanaume asiye na pesa. N kuna vijana wanahangaika kufa kupona kuhudumia hao viumbe wakati huohuo mwanamke huyohuyo kuna vijana wanampata bila hata mia mbovu.
Mwanamke kama hakutaki mwambie aondoke. Utapata mwingine.
Sio utumie nguvu kubwa na mapesa Mengi kwaajili ya kutuliza mood swings za Mwanamke. Hazitatulia. Unapoteza Muda wako na unajitesa bure.
Narudia, huyo anayejifanya kwako anakisirani, mara kanuna mara kakunyima akienda kwa mtu mwingine anakuwa anaakili timamu. Sasa hizo kama sio dharau kwako ni kitu gani.?
WANAWAKE wanakipaji cha kusoma akili ya Mwanaume. Akishakuweka kwenye kumi na nane zake. Yaani akikubadilisha ukiingia kwenye mfumo wake umekwisha.
Be a man! Usikubali kuwa kama bendera ya mwanamke. Mwanamke Akiwa hivi unafuata. Akiwa hivi unafuata kama bwege!
Hata kama unahela sio kisingizio cha mwanamke kuzitumia kwa ubadhirifu. Hizo pia kwako ni dharau.
Mbona pesa Zao hawazitumii kidharaudharau.
Elewa, mwanamke hawezi kuitumia vibaya pesa ya Mwanaume anayempenda. Weka akilini hiyo.
Lakini ukiona mwanamke Hana huruma na pesa zako ujue anakuona bwege nazi. Danga lake.
Elewa, mwanamke hawezi kuwa na mood swings kwa mwanaume anayempenda na kumhitaji ambaye hataki ampoteze.
Mwanamke huanza kukuchezesha shere akiona Hana chakupoteza, akiona wewe ndiye unampapatikia, akiona wewe ndiye unabahati kuwa naye.
Mwanamke hawezi mchezea chezea na kumletea mahisia mshenzi mwanaume wa ndoto zake. Never ever!
Wanawake wengi huanza kuwa na mood swings wakipoteza hisia na wewe au wakianza ku-cheat.
Mwanamke lazima ajue kuwa wewe ni mwanaume mwenye maamuzi kamili ambaye huna unayemsikiliza na utakayemsikiliza pindi yeye mwanamke akizingua.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mpaka leo bado kuna vijana mnateseka na mapenzi?
Inasikitisha sana kwa kweli.
Ni hatari mnoMpaka leo bado kuna vijana mnateseka na mapenzi?
Inasikitisha sana kwa kweli.
Tabia ya mwanamke labd umkute nayoo ila zile anazoanza kuzionyesha katikati ya mahusiano wew mwanaume inatakwa uzicontrol.Huwezi kumbadili mwanamke tabia labda uamue tu kumuacha au kum-ignore uendelee na kazi zingine
Sasa hizo sio tabia hizo ni mood swing zinaleta na hormone change zake au hali ya maisha kwa wakati huo.Tabia ya mwanamke labd umkute nayoo ila zile anazoanza kuzionyesha katikati ya mahusiano wew mwanaume inatakwa uzicontrol.
Umeeleza vizuri sana. Ngoja tuongeze.WANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings. Usikubali!
Kuna wanawake Wana tabia ya kupelekesha wanaume wakijifanya ati Wana mood swings.
Mood swings ni hali ya hisia kutokuwa stable yaani kubadilikabadilika kwa Muda mfupi. Mara anakuwa kanuna, Mara anakuwa anahasirahasira, mara anasusa, mara hivi mara vile.
Wanawake wengi hata kama hajakasirika huweza kuigiza amekasirika na kuifanya hiyo kama mood swings yake ya Muda huo.
Wanaume wengi wamejikuta katika mateso hasa wale wanaoendekeza ujingaujinga wa mood swings za wanawake Zao.
Umetoka kazini umechoka, umerudi nyumbani mwanamke muda wote alikuwa na furaha, lakini aliposikia Geti au mlango unabisha anabadilika upesiupesi na kujinunisha, wakati siku nzima alikuwa anacheka.
Ukimuuliza atakuambia ameshinda vibaya, au asikujibu.
Sasa wanawake wa aina hii Sisi tunajua namna ya kudili nao.
Kwanza Kabisa tukishajua mwanamke ni wale wakujifanya Mood swinger's na Sisi tunakuwa mood swinger's zaidi Yao.
Yaani umerudi amenuna wewe unaingia zako ndani ukiwa unaimba haujali Wala nini wala humuulizi chochote. Unaenda bafuni unaoga, unaenda kupakua chakula kidogo Sana, kisha unatoka zako unarudi kitaa.
Ukirudi saa nne sa tano hiyo usiku unarudi umenuna zako unafokafoka mwenyewe vitu havieleweki. Lakini usimshirikishe. Kisha panda kitandani Lala!
Lakini kama utakuwa kama huna Muda na mambo hayo ya kuigizaigiza na michezo ya kaole kama siye. Na kama utakuwa busy Sana na maisha yaani unayachukulia maisha serious saaana! Basi mwambie huyo mwanamke, Tabia za mood swings na wewe ni mbinu na ardhi.
Anamachaguo mawili aache ujinga wake au kila mtu apite Njia yake.
Wanawake wengine hujifanya Hamnazo ndio hao mood swinger's sio ajabu akakutukana au akakupiga Kofi au kukufanyia jambo lolote la aibu alafu utamsikia
Akisema;
" Oooh! Muda ule nilikuwa vibaya, oooh! Mimi nikiwaga na hasira nakuwaga vile. Ooh! Mimi nikikerekaga nakuwaga na mambo ya ajabu"
Usikubali hayo maelezo yake. Piga chini.
Mimi binafsi niliwahi kuwaga na vidada virembo vya aina hiyo ambavyo kwenye mahusiano yao vilikuwa mood swinger's lakini vilipokuwa havikuonyesha hizo Tabia za kijingajinga.
Ni Sawa mtu akuambie demu Fulani anapenda pesa wakati kuna watu wanamla bure tena anatoa kwa ushirikiano wote.
Alafu haohao mood swinger's ndio haohao watakuambia Mimi siwezi kuwa na mwanaume asiye na pesa. N kuna vijana wanahangaika kufa kupona kuhudumia hao viumbe wakati huohuo mwanamke huyohuyo kuna vijana wanampata bila hata mia mbovu.
Mwanamke kama hakutaki mwambie aondoke. Utapata mwingine.
Sio utumie nguvu kubwa na mapesa Mengi kwaajili ya kutuliza mood swings za Mwanamke. Hazitatulia. Unapoteza Muda wako na unajitesa bure.
Narudia, huyo anayejifanya kwako anakisirani, mara kanuna mara kakunyima akienda kwa mtu mwingine anakuwa anaakili timamu. Sasa hizo kama sio dharau kwako ni kitu gani.?
WANAWAKE wanakipaji cha kusoma akili ya Mwanaume. Akishakuweka kwenye kumi na nane zake. Yaani akikubadilisha ukiingia kwenye mfumo wake umekwisha.
Be a man! Usikubali kuwa kama bendera ya mwanamke. Mwanamke Akiwa hivi unafuata. Akiwa hivi unafuata kama bwege!
Hata kama unahela sio kisingizio cha mwanamke kuzitumia kwa ubadhirifu. Hizo pia kwako ni dharau.
Mbona pesa Zao hawazitumii kidharaudharau.
Elewa, mwanamke hawezi kuitumia vibaya pesa ya Mwanaume anayempenda. Weka akilini hiyo.
Lakini ukiona mwanamke Hana huruma na pesa zako ujue anakuona bwege nazi. Danga lake.
Elewa, mwanamke hawezi kuwa na mood swings kwa mwanaume anayempenda na kumhitaji ambaye hataki ampoteze.
Mwanamke huanza kukuchezesha shere akiona Hana chakupoteza, akiona wewe ndiye unampapatikia, akiona wewe ndiye unabahati kuwa naye.
Mwanamke hawezi mchezea chezea na kumletea mahisia mshenzi mwanaume wa ndoto zake. Never ever!
Wanawake wengi huanza kuwa na mood swings wakipoteza hisia na wewe au wakianza ku-cheat.
Mwanamke lazima ajue kuwa wewe ni mwanaume mwenye maamuzi kamili ambaye huna unayemsikiliza na utakayemsikiliza pindi yeye mwanamke akizingua.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Mood swing zao hazifanyagi kazi wakiwa kazini wala mbele ya wachungaji wao. but wakifika tu kwa waume zaoWanawake ni kweli wana tawaliwa na hormone influence, mood swing kwao ni kawaida sanaa hasa wakiwa wana karibia kuingia hedhi zao, au wamesha ingia au wana mimba changa hizo zote ni hormony influence, ndo maana kuna hitahitajika maturity kuoa.........
Wanaume wengi huchelewa kurudi nyumbani sio kwamba ni walevi ni kumpunguza kadhia kama hizl wanawake wana midoma mpaka hata hamu ya kumlala inakata.
Sasa hizo sio tabia hizo ni mood swing zinaleta na hormone change zake au hali ya maisha kwa wakati huo.