Gru
JF-Expert Member
- Nov 14, 2017
- 492
- 1,055
Umeongea vyema kabisa mzee, kunae Binti mmoja nimemtia mimba sasa Kila siku ukimcheki ni visirani vya kisenge senge visvyokuwa na maana. Utamcheki asubuhi au mchana Yuko poa ukimcheki jioni analeta wenge kashabadilika tayari, kisingizio mimba.
Ukijaa kwenye mfumo wake atakupelekesha na kukuona boya, Sasa ninachofanya nakula buyu tu nishamchana ukiwa na mavisirani yako usinitafute.
Ukijaa kwenye mfumo wake atakupelekesha na kukuona boya, Sasa ninachofanya nakula buyu tu nishamchana ukiwa na mavisirani yako usinitafute.