wasumu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2015
- 2,271
- 2,065
achana na ndoa kataa ndoa ..Mwanamke akiwa hakupendi anakuwa na ujinga mwingi san
people came to your sense
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
achana na ndoa kataa ndoa ..Mwanamke akiwa hakupendi anakuwa na ujinga mwingi san
Kasema safari anataka mbuzi😋
usiseme wanawake et ni mashetani hata wao wakikaa wanasema wanaume mashetani ... muhimu wote hatujui kuwa tunapqmbania vitu ambavyo hautakuwa navyo mileleWanawake wengi ni mashetani na ni wachafu. Hongera sana Waislam, mnawavika Wanawake minguo myeusi tiiiii, na sura zao za kishetani hazitakiwi kuonekana kwa kuwa ni mashetani wadogo, na wanaume wanavaa nguo nyeipe safi, na sura zao zinaonekana kwakuwa ni watakatifu sana, mfano halisi wa Mungu.
Visomi uchwara na vyenye kazi zao si ndiyo aina ya Ke uwapendao, kiko wapi sasa?
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
mwanamke yeyote ambaye hana heshima kwa mwanaume yeyote hatakiwi kuolewa na kwa wanafalsafa wengi walishajitoa katika masuala yaa mapenzi
Hakuna cha mood swings wala ndugu zake na Mudi, mbona huwa hazinuniagi pesa na wakati wowote huzitaka toka kwa Me?Hizo ndo hutakwi kuzichekea...eti mtu anapasua tv kisa hasira na mood swing..!
ukitaka kufanikiwa katika dunia hii ni kujitoa katika mapenzi ni kujitoa katika ndoa kataa ndoa jenga Afya yako ya akili ,furaha utaiona dunia ni sehemu nzur sana ila sisi tunajisifia kimwaga mabao saba duu tungejua hata usipofanya mapenz dunia watu wataongezeka .... shtuka wewe mlokole ukitaka kuuona ufalme wa mbinguni achana na ngono mapenz ndoa .....
Madini hayaWANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Usikubali mwanamke akupelekeshe kwa kisingizio cha mood swings. Usikubali!
Kuna wanawake Wana tabia ya kupelekesha wanaume wakijifanya ati Wana mood swings.
Mood swings ni hali ya hisia kutokuwa stable yaani kubadilikabadilika kwa Muda mfupi. Mara anakuwa kanuna, Mara anakuwa anahasirahasira, mara anasusa, mara hivi mara vile.
Wanawake wengi hata kama hajakasirika huweza kuigiza amekasirika na kuifanya hiyo kama mood swings yake ya Muda huo.
Wanaume wengi wamejikuta katika mateso hasa wale wanaoendekeza ujingaujinga wa mood swings za wanawake Zao.
Umetoka kazini umechoka, umerudi nyumbani mwanamke muda wote alikuwa na furaha, lakini aliposikia Geti au mlango unabisha anabadilika upesiupesi na kujinunisha, wakati siku nzima alikuwa anacheka.
Ukimuuliza atakuambia ameshinda vibaya, au asikujibu.
Sasa wanawake wa aina hii Sisi tunajua namna ya kudili nao.
Kwanza Kabisa tukishajua mwanamke ni wale wakujifanya Mood swinger's na Sisi tunakuwa mood swinger's zaidi Yao.
Yaani umerudi amenuna wewe unaingia zako ndani ukiwa unaimba haujali Wala nini wala humuulizi chochote. Unaenda bafuni unaoga, unaenda kupakua chakula kidogo Sana, kisha unatoka zako unarudi kitaa.
Ukirudi saa nne sa tano hiyo usiku unarudi umenuna zako unafokafoka mwenyewe vitu havieleweki. Lakini usimshirikishe. Kisha panda kitandani Lala!
Lakini kama utakuwa kama huna Muda na mambo hayo ya kuigizaigiza na michezo ya kaole kama siye. Na kama utakuwa busy Sana na maisha yaani unayachukulia maisha serious saaana! Basi mwambie huyo mwanamke, Tabia za mood swings na wewe ni mbinu na ardhi.
Anamachaguo mawili aache ujinga wake au kila mtu apite Njia yake.
Wanawake wengine hujifanya Hamnazo ndio hao mood swinger's sio ajabu akakutukana au akakupiga Kofi au kukufanyia jambo lolote la aibu alafu utamsikia
Akisema;
" Oooh! Muda ule nilikuwa vibaya, oooh! Mimi nikiwaga na hasira nakuwaga vile. Ooh! Mimi nikikerekaga nakuwaga na mambo ya ajabu"
Usikubali hayo maelezo yake. Piga chini.
Mimi binafsi niliwahi kuwaga na vidada virembo vya aina hiyo ambavyo kwenye mahusiano yao vilikuwa mood swinger's lakini vilipokuwa havikuonyesha hizo Tabia za kijingajinga.
Ni Sawa mtu akuambie demu Fulani anapenda pesa wakati kuna watu wanamla bure tena anatoa kwa ushirikiano wote.
Alafu haohao mood swinger's ndio haohao watakuambia Mimi siwezi kuwa na mwanaume asiye na pesa. N kuna vijana wanahangaika kufa kupona kuhudumia hao viumbe wakati huohuo mwanamke huyohuyo kuna vijana wanampata bila hata mia mbovu.
Mwanamke kama hakutaki mwambie aondoke. Utapata mwingine.
Sio utumie nguvu kubwa na mapesa Mengi kwaajili ya kutuliza mood swings za Mwanamke. Hazitatulia. Unapoteza Muda wako na unajitesa bure.
Narudia, huyo anayejifanya kwako anakisirani, mara kanuna mara kakunyima akienda kwa mtu mwingine anakuwa anaakili timamu. Sasa hizo kama sio dharau kwako ni kitu gani.?
WANAWAKE wanakipaji cha kusoma akili ya Mwanaume. Akishakuweka kwenye kumi na nane zake. Yaani akikubadilisha ukiingia kwenye mfumo wake umekwisha.
Be a man! Usikubali kuwa kama bendera ya mwanamke. Mwanamke Akiwa hivi unafuata. Akiwa hivi unafuata kama bwege!
Hata kama unahela sio kisingizio cha mwanamke kuzitumia kwa ubadhirifu. Hizo pia kwako ni dharau.
Mbona pesa Zao hawazitumii kidharaudharau.
Elewa, mwanamke hawezi kuitumia vibaya pesa ya Mwanaume anayempenda. Weka akilini hiyo.
Lakini ukiona mwanamke Hana huruma na pesa zako ujue anakuona bwege nazi. Danga lake.
Elewa, mwanamke hawezi kuwa na mood swings kwa mwanaume anayempenda na kumhitaji ambaye hataki ampoteze.
Mwanamke huanza kukuchezesha shere akiona Hana chakupoteza, akiona wewe ndiye unampapatikia, akiona wewe ndiye unabahati kuwa naye.
Mwanamke hawezi mchezea chezea na kumletea mahisia mshenzi mwanaume wa ndoto zake. Never ever!
Wanawake wengi huanza kuwa na mood swings wakipoteza hisia na wewe au wakianza ku-cheat.
Mwanamke lazima ajue kuwa wewe ni mwanaume mwenye maamuzi kamili ambaye huna unayemsikiliza na utakayemsikiliza pindi yeye mwanamke akizingua.
Acha nipumzike sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Hizi ni hisia zako au umefanya research?
Aisee kuna muda unakaangalia unataman hat umkate kibao azimieWANAWAKE HUJIFANYA WANA MOOD SWINGS NA KUITUMIA KUTESA NA KUPELEKESHA WANAUME MABWEGE.

Wanawake wengi ni mashetani na ni wachafu. Hongera sana Waislam, mnawavika Wanawake minguo myeusi tiiiii, na sura zao za kishetani hazitakiwi kuonekana kwa kuwa ni mashetani wadogo, na wanaume wanavaa nguo nyeipe safi, na sura zao zinaonekana kwakuwa ni watakatifu sana, mfano halisi wa Mungu.
Hao wanawake wako mbingu gani? Mbona niliokutana nao na huyu niliemuoa hana hizo mood swingsWanawake ni kweli wana tawaliwa na hormone influence, mood swing kwao ni kawaida sanaa hasa wakiwa wana karibia kuingia hedhi zao, au wamesha ingia au wana mimba changa hizo zote ni hormony influence, ndo maana kuna hitahitajika maturity kuoa.........
Wanaume wengi huchelewa kurudi nyumbani sio kwamba ni walevi ni kumpunguza kadhia kama hizl wanawake wana midoma mpaka hata hamu ya kumlala inakata.
Huyu wa kwako atakua na hormony za kiume nyingi, imbalance harmoniesHao wanawake wako mbingu gani? Mbona niliokutana nao na huyu niliemuoa hana hizo mood swings
Basi ajabu ,maana mpaka umri huu najaza abood buses tatu hahahaHuyu wa kwako atakua na hormony za kiume nyingi, imbalance harmonies
Una umri gani huo wa kujaza basi za abood tatu?Basi ajabu ,maana mpaka umri huu najaza abood buses tatu hahaha
yes big point, kila kitu kinategemeana na mtu mwenyewe hivyo hili suala lake hayuko sawaHakuna mwanamke shetani peke yake. Wanaume na wanawake wote ni mashetani yasiyojuana na kwa wakati wake.
Kuna wanaume na wanawake wanafanya mambo, naona na shetani anakubali kazidiwa. So stop hiyo wanawake ni mashetani. Kila mmoja ana ushetani wake na wa aina yake. Case closed.