Wanawake hujifanya wana mood swings na kuitumia kutesa na kupelekesha wanaume mabwege

Wanawake kujinunisha nafikiri ndio asili yao,mi wife tunaweza tusiongee hata week, ila sasa siku nikihamua kumpelekea moto kuanzia asubui na usiku mechi inarudiwa,siku ya pili yake akihamka atatoa nguo zangu zote hata ambazo sivaagi atazifua zote,atasafisha nyumba nzima nje,kwenye kuta, na siku iyo kwa kuwa anajua napenda sana pilau,atalipika la nyama nyingi hata kwa hela yake,



Ila baadae tuliachana ,alinishinda akianza kupayuka mtaa mzima watajua,simu zangu ashavunja nyingi sana
 

Mimi siwezi kuishi na mtu anayenuna hata kwa masaa 24.
 
Mimi nina mood swings, zaidi ni GEMINI woman. Utajua mwenyewe, kama utazika au utasafirisha.

Ukipata mwanaume wa ndoto zako mood swings zote chali.

Mood swings mara nyingi ni MATOKEO ya hasira, kutokupata kile ambacho ulikitarajia,
Kutokujaliwa,
Kuumizwa Kihisia( kumbuka hakuna kitu kibaya kwa mwanamke Kama kutopata mwanaume Yule aliyempenda Sana).

Mwanamke huweza kujidhibiti Sana Akiwa mbele ya mtu anayempenda
 
Tena akishakusoma unapenda saba Chini basi anaitumia kwa Advantage kubwa mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…