Wanawake huwa hatuna shoo mbovu

Tatizo mnamiliki limoyo ambalo halina breki kwenye kupenda, ukipenda unapenda kweli na hata huo uchawi wako unauacha au unaufanyia huko kila unapokutana na unaempenda.

Huwezi amini mwanamke mjeshi anapopumuliwa sikioni anavyosisimka mpaka unashangaa huyu ndo huwa anapiga mguu pande
 
Uko sahihi, maana tangu kuumbwa kwa dunia ni mwanamke pekee ndiye aliyeweza kufanya mjadala na shetani wa kumshawishi adamu kula tunda lililokatazwa na MUNGU, hatimaye laana ikaingia duniani, huenda hata Leo Bado wapo wanawake wanaofanya mijadala na shetani , ndio maana MUNGU alisema tukae nao kwa akili.
 
Akili zenu zimeishia hapo ona mnavyo comment
 
Huyu mwanamke ni mpumbavu..anajisifu ujinga...eti ukahaba na uchawi...dah kweli wanaume tuna kazi ..imagine ni mke wa mtu huyu[emoji38]
Mbona wanaume kutwa huku wanajisifia uzinzi mkuu? Ni forum huru muache aandike anachojisikia hasa kama havunji sheria

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
Sipingi na si bishi mwanamke ndio IBILISI mwwnyewe
 
UMUGHAKA na Monica wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…