Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

Hiyo nampa ila sio kuanza kunikalisha mikao ya hovyo hovyo..!!
Chuma mboga, chuma mboga hiyo akawakalishe cousins wake wadumishe tamaduni za ukoo wao…!! 😹😹😹
Aah mambo ya mikao hapana
Unakuta mtu anataka akukalishe ile style ya NO REFORM no election wakati umejichokea zako huko 🤣
 
Mwanaume....
Kuna siku niliona uzi humu kabla ya kufutwa kwa jukwaa la wakubwa mwanamke aliandika hajiskiii kafanya mapenzi kama mtanange umo kwenyewe na kidole gumba kinasugua kwengine....

Labda kuna wanaoskia utamu.

Cc wanawake.
Nafikiri ni tatizo la kisaikolojia zaidi, sioni kama wanapata pleasure yoyote.
 
Wanao rizika na waumezao ni wanawake wa kislam tu wengine haaa wazinzi kwa nusu uch leo watakataa et hawana nyege ushetwan 2 chumbani milio ya panya mala oon ee haao
Umetumia facts ama research ili, yaani human nature is the universal regardless of your race, religion, tribe etc.
Yaani matamanio yako ama whatever is universal na ndio mana binadamu wote wanapenda heshima etc
 
Kwanini?
Unaumizwa
Unadhani anakuona sehemu ambayo hutaki uonekane
Unadhani atadhani haujisafishi vizuri?
Hainivutii naona km ming’ombe inapandana..!!

Kuona hata ordinary tukifanya si anaona!!
Kuhusu usafi sijisifii ila kuoga na kuweka mazingira ya mwili wangu katika hali ya usafi hilo 💯 huwa anaforce mpk anilambe namtoa…!!
 
wewe una tabia kama za Binti wa zamani
Twende polepole, wewe tabia zangu za kitandani umezijulia wapi?

giphy.gif
 
Back
Top Bottom