Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

Wanawake Jambo gani mnafanya kwenye mapenzi ili tu kumridhisha mwanaume wako ila husikii raha yoyote?

Hiyo nampa ila sio kuanza kunikalisha mikao ya hovyo hovyo..!!
Chuma mboga, chuma mboga hiyo akawakalishe cousins wake wadumishe tamaduni za ukoo wao…!! 😹😹😹
Ila cazee we mkaksi mmh we hata karate unajua walai aseeeh umeongea kama dume hadi nimeshtuka, 😸😸😸
 
😹😹😹😹 Kanichekesha eti mwanaume avae cd kabla ya kumuingilia khaaaa..!!
Muulize buana hiyo cd ndo nini??
Itakuwa kamaanisha condom ila da mau muda mwingine hajuagi hata anacho comment akili zikimruka anaandika chochote kitu 🤣
 
Aisee unajibana bana sana, jiachie ndio raha ya sex, kama anataka kuzama chumvini mpe tu, chuma mboga kama haikuumizi msusie tu, kikubwa usifanye vitu ambavyo wewe vitakuumiza au kuhisi unauvua utu wako
Hiyo hapana hainivutii na mimi sio wa kufanya vitu ili nimfurahishe mtu..!!
 
Back
Top Bottom