Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

Shukrani sana mkuu
 
Japo ulikosea, ila yeye ndiyo chanzo! Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba kwa mikono yake, anawezaje kusimulia vya ndani kiasi hicho kwa rafiki? Yaani mwanamke unawezaje kutoa siri za kitandani na unapataje ujasili wa kusimlia yale mnayoyafanya na mwenzio mkiwa faragha? Akome si alimtamanisha kurumbembe sasa naye kaingia ajionee kama yaliyomo yamo
 
Kmmk wahuni sio watu
 
Wanawake huea hawaambiani hayo mambo, hata akiulizwa lazima akudiss mbele ya wenzake, anajua kabisa akisema ukweli watamvizia mumewe kwa kila njia ya kiharamia.

Hata kama wewe umekosea mkewe naye kakosea zaidi kumsimulia ndiyo kafanya aje kwako na ajaribu kama ni kweli au la.

Na wewe pia boya, tunasema kila sikh shemeji hachombezwi kwa sms au chat, sijui huwa unaziba masikio. Hii mbinu ya kuepuka misala lama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…