Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 22,502
- 48,479
Kabisa mkuuVyema sana mkuu. Maana hakuna ushahidi mwingine zaidi ya SMS.
Kabisa mkuuVyema sana mkuu. Maana hakuna ushahidi mwingine zaidi ya SMS.
Na mwanzo nilitaka kumpinga kuwa nisingeweza, ila kuna mazingira huja tu na kujikuta mtu unaangukia ulipopakataaDah,
Kuna mtu alitabiri hili kwa usahihi kabisaa..
Tumia tu akili, yote yatakaa sawa.Ila naamini atatulia tu. Hapa bado nazugazuga kitaani natafuta gear ya kwenda kuanza nayo ili acool down
😂 Dah!Hahaha, utapusuka hutoamini.
unadhani shida ni wakati wa mahaba, shida ni kwenye maisha ya kila siku, mambo madogo madogo, yanakuwa connected na hilo tukio lako ulilokiri kulifanya.
Mfano, Siku umejisahau umeingia ndani na viatu kakuuliza haya, unadhani hapa ni kwa huyo mwanamke wako wa Mpesa, embu toa viatu nje! wakati kabla alikuwa anatoa tu mwenyewe bila makelele.
Na panaponipa wakati mgumu ni kwamba hata kama tutasettle, ile linkage kwenye maisha ya kawaida itaendelea kuwepo?Hahaha, utapusuka hutoamini.
unadhani shida ni wakati wa mahaba, shida ni kwenye maisha ya kila siku, mambo madogo madogo, yanakuwa connected na hilo tukio lako ulilokiri kulifanya.
Mfano, Siku umejisahau umeingia ndani na viatu kakuuliza haya, unadhani hapa ni kwa huyo mwanamke wako wa Mpesa, embu toa viatu nje! wakati kabla alikuwa anatoa tu mwenyewe bila makelele.
🤣🤣🤣Nimependa hapo kwenye kuwachanganya wapatanishi hii ni medani kabisaMsimamo ni ule ule kataa hadi pumzi ya mwisho, wazee wakija wambie mkeo ndo alikua anachat na rafiki yake hizo sms kupitia simu yako ili wewe uonekane hufai...wambiee wazee mkeo siku nyingi tu anatafuta sababu za kuachana....yani hakikisha wapatanishi wanachanganyikiwa.....
Hapo chanzo cha tukio ni simulizi ya mkeo kwa huyo mdada kuhusu 🔥 wakoNa mwanzo nilitaka kumpinga kuwa nisingeweza, ila kuna mazingira huja tu na kujikuta mtu unaangukia ulipopakataa
Ndo shida ya huyu mwanamama wangu. Ukimfanyia chochotte kizuri akawa excited lazima tu atangazeHapo chanzo cha tukio ni simulizi ya mkeo kwa huyo mdada kuhusu 🔥 wako
Ni kweli mkuu, ila nilikuwa overwhelmed hadi kufikia kuangukia humo..Ila uliharibu sana kumla rafiki yake wewe hujui ule msemo usemao ukitaka kunya,nenda kunya kichakani mbali na sio kwenye boma?
Pole...chukua ushauri wa kukana shtakaNi kweli mkuu, ila nilikuwa overwhelmed hadi kufikia kuangukia humo
Hii nayo kaliMsimamo ni ule ule kataa hadi pumzi ya mwisho, wazee wakija wambie mkeo ndo alikua anachat na rafiki yake hizo sms kupitia simu yako ili wewe uonekane hufai...wambiee wazee mkeo siku nyingi tu anatafuta sababu za kuachana....yani hakikisha wapatanishi wanachanganyikiwa.....
Wanatofautiana, kuna mwingine anabadilika moja kwa moja anaanza kuwa selfish, mwingine anaanza kucheat kwa siri, mwingine anasahau anasamehe. Wapo tofauti sana. Mwingine anazidisha mapenzi anaogopa usitoke ukanogewa huko nje. Inategemea wako yupoje. Mwingine anakuona ninja kweli, kucheat umecheat, na bado umemvuruga hata aelewi wewe ndo umecheat au ni yeye?Na panaponipa wakati mgumu ni kwamba hata kama tutasettle, ile linkage kwenye maisha ya kawaida itaendelea kuwepo?
Pakitulia nitapata definition ya huyu wa kwangu. Aielewi ataangukia wapiWanatofautiana, kuna mwingine anabadilika moja kwa moja anaanza kuwa selfish, mwingine anaanza kucheat kwa siri, mwingine anasahau anasamehe. Wapo tofauti sana. Mwingine anazidisha mapenzi anaogopa usitoke ukanogewa huko nje. Inategemea wako yupoje. Mwingine anakuona ninja kweli, kucheat umecheat, na bado umemvuruga hata aelewi wewe ndo umecheat au ni yeye?
🤣🫵🫵🫵Kweli mmebaki wachache, mnaokaa kwa shemeji