Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

Wanawake jifunzeni kutunza siri, mnatuharibia sana. Saahizi ndoa yangu ipo matatani kuvunjika

Ila na wewe, rafiki wa mkeo kabisa. Na uliona hana heshima kwa mkeo.. Ndio ukome maana atakuwa kicheche na kajitangaza kuwa umemla kwa neighbourhood yenu..

Koma hata mie ningenyoshaaa wangu..

Hopefully hujaondoka na magonjwaaa... KOMAAAAAA

MSGS kama WhatsApp unaweza futa ya everyone kila unapotuma ila yeye nae hakuwa rafiki ake alisubiri akukuleeee. . Eti au kuna kitu kati yao yule anajua.. Akamdharau mkeo.. Miamalaaaaaaaa🤣
Kuna code mwanamke akijua basi kumpata mwanaume anayemtaka ni rahisi.

Jamaa kasifiwa "mbona rafik angu akisuka siku moja . Ya pili nywele zinavurugika? Akaona kasifiwa kumbe kalengeshwa. 😊😊😊😊
 
bas umeshinda.
usikubali kosa.
na pia usimtafute kwa namna yoyote huyo mwanamke wa nje. Maana this time atarekodi sauti.

Tunga story. Na simamia hilo.😊😊😊.
Hujawah kulala nae na chat ni za AI kwasababu bidada siku nying ukiwa unaenda kufanya miamala anatakaga umuachie elfu 5. Na pia anakuambiaga mambo ya wife wako ila ww hukutaka kumsikiliza.

Inspired by Chaggy, it wasnt Me😊😊😊😊 isikilize upate caurage.
Shaggy muhuni sana huyo jamaa . Ni kukataa mwambo mwisho. Ngoja nifanye armchair thinking ya kiwango cha juu
 
Ila na wewe, rafiki wa mkeo kabisa. Na uliona hana heshima kwa mkeo.. Ndio ukome maana atakuwa kicheche na kajitangaza kuwa umemla kwa neighbourhood yenu..

Koma hata mie ningenyoshaaa wangu..

Hopefully hujaondoka na magonjwaaa... KOMAAAAAA

MSGS kama WhatsApp unaweza futa ya everyone kila unapotuma ila yeye nae hakuwa rafiki ake alisubiri akukuleeee. . Eti au kuna kitu kati yao yule anajua.. Akamdharau mkeo.. Miamalaaaaaaaa🤣
Mkuu, naamini nipo safe..

Suala kuu kwa sasa ni kuangalia tu kwa namna gani nauzima huu moto niloukoka
 
Mkuu, naamini nipo safe..

Suala kuu kwa sasa ni kuangalia tu kwa namna gani nauzima huu moto niloukoka

Mwanamke anayetumia kwa kulalia rafiki na mume ake, ni ngumu na kwa wengine sio rahisi kurudi kuwa kama mwanzo.

Si kasema muhame, mmepangisha na upo hivyo au? Kubali hilo liwe namba moja kama kwenu papangishe. Muondoe hapo au atakuwa ha humo kivyovyote na kwenda kuanza maisha yake.

Kilichomuumiza zaidi pia ni huyo rafiki feki kumringishia maisha ona lidwudu lako na uliyofanya.. Si umesema na ulionyesha kwa mke hatupati hizo round na kufanya yote..

Sali tu maana hata mkibaki mtakuwa siyo tena, vizuri mkeo ajijengee maisha yake hata u kiwepo uwe sanamu tu kwake.

Hama fasta au nenda mkaishi sehemu ulipie popoteeee

Koma kulala na mwanamke mwenye wivu kwa mkeo..
 
Habari gani kwenu wakuu? Najua mapambano bado yanaendelea, hakuna kukata tamaa..

Kuna uzi niliwahi kushare humu kuhusu huyu mwanamke wangu kuwa na tabia ya kushare mambo yetu ya faragha kwa marafiki zake

Sasa, kwenye moja ya jumbe nilizowahi fumania kwenye simu yake ni ya bidada mmoja anafanya biashara ya uwakala. Sasa huyu dada kila nilipokuwa nikienda kufanya miamala dukani kwake alikuwa ananitazama kimtindo mtindo na vimaneno vya kuchombeza ambavyo sikuwa navielewa hadi siku nilipofumania message zake akiwa anachat na wife mambo ya sirini..

Sasa, kuna wiki kadhaa nyuma wife alipata safari, pale nyumbani nikawa nimebaki peke yangu. Nadhani yule dada wakala alijua hilo kwakuwa ni rafiki wa mke wangu. Siku moja nimeenda pale ofisini kwake nikafanya muamala then tukaanza kuongea kidogo.. katika maongezi akawa ananiambia "saizi mkeo hayupo najua unateseka sana"

Nikamuuliza kivipi?

Akawa anajikanyaga kanyaga tu ila nikawa nimeshamuelewa alicholenga kukisema. Nikawa najitajidi kubadili uelekeo wa mada ili tutoke huko, ila bado akawa anarudia, mara aniambie "mkeo anaweza kusuka leo, kesho asubuhi nywele zimefumika fumuka, inaonekana sio poa eeeh" huku anajichekesha..

Basi nikawa nimemuaga aendelee na kazi. Baada ya kutoka tu nikaona kanitumia ujumbe wa kichokozi vilevile.. nikaona huyu sasa mbona simuelewi.. nikamwambia aende kwenye point aache kurukaruka..

Akaniambia "kama ni mtu mzima utakuwa umeshajiongeza"

Kwakuwa na mimi nilikuwa na hamu zangu nikamuuliza "utaweza kutunza siri?" Akasema "kwanini nishindwe? Labda wewe"

Basi nikawa nimeuliza kuhusu ratiba yake akanielekeza, nikampa location, jioni akatokea

Kutokana na upwiru, ukiongezea na maneno yake ya matusi matusi alokuwa anayaongea wakati nampelekea fire yalinihamasisha kumcharaza bakora kama vile ilikuwa mara yangu ya mwisho sitofanya tena.. Nilimtafuna kila mkao, kama ni kisiki nilimng'oa kwa kila mng'oo,, mwenyewe alikubali.

Tukafanya tena kama awamu mbili baadae.. Nikamwambia ole wako uje umwambie Mke wangu,, utanieleza vizuri.

******

Sasa majuzi kati siku ya game ya Azam na Simba wife akawa karudi kutoka safari. Maisha yakaendelea kama kawaida.

Juzi wife na huyo rafiki yake wakala sijui wakawa wamezinguana nini, wakawa wamerushiana maneno. Katika kurusha huko maneno hilo lidada si likaanza kufunguka hadi mambo tuliyoyafanya, yaani linamwambia wife kwamba kipindi hayupo lilitembea na mimi, na sio mara moja. Kibaya zaidi likascreenshot chats zote nilizochat nalo likamtumia whatsapp.. aisee

Mimi sikuwa najua, nilirudi tu nikakuta wife analia, namuuliza nini shida, akawa ananilaumu sana na kunipigapiga tuvibao akisema "yaani kwakuwa sikuwepo ukaona unisaliti, tena kibaya zaidi na rafiki yangu"

Nilistuka, ila nikajifanya mgumu nikamwambia haiwezi kutokea. Nikaingiza na mfumo dume kusisitiza msimamo lakini baada ya kupewa siku kuona zile sms na yale maneno waliorushiana nilichoka..

Hali ni mbaya sana, sijui naruka vp hapa na mbaya zaidi simu za nyumbani zinakuja kama mvua, Wife anadai anaondoka, nimemdhalilisha sana. Wazee muda wowote wanaweza kuja. Nawaza jinsi gani huu moto ntauzima

Hii ndio shida ya kutembea na madada mehu mehu😡😡😡
Chukua hiyo screen shot, ingiza kwenye Ai iambie ibadili majina iweke la mkeo na mwanaume kisha mtumie. Muulize nini hiki? Mwambie umetumiwa na huyo rafiki yake, Mwishoni mtasameheana tu.
 
Umconfuse. Mwambie umetumiwa na huyo rafiki yake baada ya kumuuliza kwanini amesema uongo, akakuambia yeye alimtishia mkeo kuwa atakuambia siri zake.

Vuruga vuruga asijue akuamini wewe au rafiki yake. Mkizeeka umwambie ukweli, au siku ukitaka kufa.
Hii nitaijaribu huenda ikafanya kazi.

Halafu kwanini uwaze mimi ndio ntakufa kwanza?
 
Daah, kwa sababu hiyo ndio ntakuwa wa kwanza kufikwa parapanda
Mkuu, uzinzi na parapanda ni hivi
Screenshot_20260708_205726_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom