Wanawake jifunzeni kuwatunza na kuwaheshimu wafanyakazi wenu wa ndani yasije kuwatokea haya anayopitia mzazi mwenzangu

Ni kweli, ila basi tuseme alimfanyia roho mbaya sababu alimdharau,

Huyu mama hata wewe ukija kunitembelea nyumbani hutoamini kama alimfanyia hivyo house girl, ni mkarimu sana na ndo maana hadi leo anakaa kwangu otherwise angekua kapangiwa tu geto kama wengine nlowazalisha.

Ndo maana nasema dharau yake ilipelekea akawa na roho mbaya kwa huyo binti.

Na pole sana kuhusu hio issue ya nguo, najua inavyouma na ndo maana kuna muda mimi kama mm nilimfanyia shopping huyo binti
Kaka kuna wanawake ni wakarimu kwa wageni wa muda mfupi ila sio kwa mtu baki km maid au ndg wa mume aishi hapo, na nikwambie tu wanawake tuko vizuri kwenye ku-manipulate drama

mkeo ana roho ya choyo na wivu, hata maza house naemsemea yuko hivyo hivyo

Nakubaliana na alisema mkeo ana roho ya ibilisi
 
Naamini atakuwa amekaa naye na kumpa ukweli wa aliyoyatenda.
 
Hawajifunzagi watu aina hiyo,,

Ukitaka kujua hilo ona baada ya binti kufanikiwa analazimisha nae apate alivyo navyo huyu ni mjivuni kiburi dharau na choyo km vile mafanikio aliumbiwa yeye tu wengine hawastahili
Lakini,yawezekana alipofushwa wakati ule ili awe mfano wa kujifunza kwa wengine.Apewe nafasi nyingine ya kujisahihisha na kuwa mtoa ushuhuda/funzo kwa familia na jamii.Na ni hapo atakapojua kwa vitendo UPENDO una rangi ipi!
 
Hamtujui wanawake bado,, hilo vaga litaendelea mpaka pale akiona binti hamuwezi tena ama la amroge,,, saiv kaona gari nae kataka subiri akiolewa kwa ndoa atamghasi mumewe nae wafunge ndoa na ndo hivi kashasem kwenye mada hana mpango wa kufunga nae ndo,,, drama ndo zimeanza sema nini mtoa mada abarikiwe sana kwa kumsaidia huyo binti
 
Duh!Sina la kuongeza ingawa sipendi kumuwekea mtu maneno mdomoni.Yaani mtu aliyeonewa na akaonewa haswa ndiye anawindwa adunishwe tena na kuapizwa washindane kwa visasi!Jamani,hayo mambo tuombe yapishe mbali.Tutatengeneza laana kwenye familia/koo/vizazi vyetu.
 
Kaka kuna wanawake ni wakarimu kwa wageni wa muda mfupi ila sio kwa mtu baki km maid au ndg wa mume aishi hapo, na nikwambie tu wanawake tuko vizuri kwenye ku-manipulate drama

mkeo ana roho ya choyo na wivu, hata maza house naemsemea yuko hivyo hivyo

Nakubaliana na alisema mkeo ana roho ya ibilisi
Labda ni kweli sababu mie sikai sana pale, ngumu kuona anavyodeal na watu
 
Naamini atakuwa amekaa naye na kumpa ukweli wa aliyoyatenda.
Na huwezi amini sijawah kumwambia chochote zaidi ya onyo nlompa siku moja kwamba amjali huyo binti kama ndugu.

Toka hapo hajui kilichoendelea, na hata hajua kama nlimtafutia kazi. Sitaki alete drama akadhan nilimfanya huyo binti mke mdogo
 
Sawa,ila unamla bloangu,uongo?
Na hilo murano si ajabu umemnunulia wewe
Mzee nadhan mimi napenda K zaidi hata yako, lkn sijawah kumla yule binti, ni kama mdogo wangu. Yaan kuna muda ananipigia tu tuongee bila lengo la kuomba chochote kile, huo upendo wa kindugu ndo nataka kwake tu na ndugu zake nlofahamiana nao kabla yake yeye, ukianza mambo ya tunda hapo unaharibu kila kitu
 
Hamtujui wanawake bado,, hilo vaga litaendelea mpaka pale akiona binti hamuwezi tena ama la amroge,,, saiv kaona gari nae kataka subiri akiolewa kwa ndoa atamghasi mumewe nae wafunge ndoa na ndo hivi kashasem kwenye mada hana mpango wa kufunga nae ndo,,, drama ndo zimeanza sema nini mtoa mada abarikiwe sana kwa kumsaidia huyo binti
Hapo una pointi, huyu binti akiolewa zile ndoa za sifa nitapata sana shida kwa huyu mama
 
Yani ndo kumekucha utaona mengi kwa aina ya mkeo, ana wivu wa roho mbaya,, eti hadi mfanyakazi ana gari,,, hiyo kauli tu inaonyesha roho yake ilivyo
 
Back
Top Bottom