bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
No, unajua mtu ukushamuelewa unajua namna ya kukaa nae, sio kwamba nimemtetea lkn nmesema uhalisia kwa nilivyomuelewa, wanasemaga bora tatizo ulilolizoea kuliko tatizo jipya ambalo hujazoea, kuliko kuanza kuhangaika sasahivi kutafuta mwanamke mwingine wa kukaa na watoto na ndugu pale bora nniendelee na huyuhuyu nlomzoea na namna ya kumcontrol naijua. Ndo maana hata hapo juu nikasema hadi leo hajui kwamba ni mm ndo nilimtafutia kazi huyo binti sababu najua namna ya kusolve baadhi ya matatizo anayotengeneza ili kuepuka shida zaidi😂😂😂Hukai sana lakini umemtetea kweli,, hongera kwa kumpenda ila unyanyasaji aliofanya kwa huyo binti ni alert tu kaa chonjo bado kuna maisha mengi huko mbele atakustaajabisha siku moja
Ni mkarimu sababu kwako ni kama mpangaji au uchumba sugu.Ni kweli, ila basi tuseme alimfanyia roho mbaya sababu alimdharau,
Huyu mama hata wewe ukija kunitembelea nyumbani hutoamini kama alimfanyia hivyo house girl, ni mkarimu sana na ndo maana hadi leo anakaa kwangu otherwise angekua kapangiwa tu geto kama wengine nlowazalisha.
Ndo maana nasema dharau yake ilipelekea akawa na roho mbaya kwa huyo binti.
Na pole sana kuhusu hio issue ya nguo, najua inavyouma na ndo maana kuna muda mimi kama mm nilimfanyia shopping huyo binti
Dunia haina siri siku akijua jiandae sawasawa,,No, unajua mtu ukushamuelewa unajua namna ya kukaa nae, sio kwamba nimemtetea lkn nmesema uhalisia kwa nilivyomuelewa, wanasemaga bora tatizo ulilolizoea kuliko tatizo jipya ambalo hujazoea, kuliko kuanza kuhangaika sasahivi kutafuta mwanamke mwingine wa kukaa na watoto na ndugu pale bora nniendelee na huyuhuyu nlomzoea na namna ya kumcontrol naijua. Ndo maana hata hapo juu nikasema hadi leo hajui kwamba ni mm ndo nilimtafutia kazi huyo binti sababu najua namna ya kusolve baadhi ya matatizo anayotengeneza ili kuepuka shida zaidi
Hapana, hilo nakataa kwa herufi kubwa, ana hoteli pale makumbusho, binti zake wanaomfanyia pale ukifika tu utaona kwamba anawatreat vizuri.Na yeye utakuta anamtesa house girl wake.
Ni chain ilivyo.
Wengi waliopitia mateso huja kuwa watesaji wakubwa sana kwa wengine, sababu wameshaivaa ile roho chafu
Pale ni biashara vipi wa nyumbani kwake anawatreat vip.Hapana, hilo nakataa kwa herufi kubwa, ana hoteli pale makumbusho, binti zake wanaomfanyia pale ukifika tu utaona kwamba anawatreat vizuri.
Utanikumbuka.Hahaa
Sidhani
Ujampata wa ubavu wako yaani soulmate ukimpata hata kesho utaoa bila kulazimishwaNdo maana sioi, sio kwake tu ni kwa wanawake wengi
Unamsifia kuliko huyo mama watoto wako. Utamla tu nakwambiaKama sikumtamani akiwa mbichi na hana kitu iweje kwa sasa?
Kwann walikufanyia hivyoKununua nguo watu wote ndani isipokuwa housegirl tu,,, hiyo sio dharau ni uroho uchoyo ambao kwa lugha moja ni roho mbaya
Utotoni niliwahi kuishi pahala nakumbuka nilifanyiwa hivyo familia nzima ya watu 17 walinunuliwa nguo na maza house isipokuwa mimi tu na ilifanyika kwa miaka 3 mfululizo, huyo binti alipitia maumivu sana
Wanawake hawana Cha kwenye biashara wala nyumbani, kama ana roho mbaya hawezi kujificha kwenye kichaka Cha biasharaPale ni biashara vipi wa nyumbani kwake anawatreat vip.
Huwajui wanawake
Hahaahaaaa!!.Unamsifia kuliko huyo mama watoto wako. Utamla tu nakwambia
Tupo hapa atakuja kushuhudia 😅😅Hahaahaaaa!!.
Atake asitakeee...