Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Mubby777

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
1,628
Reaction score
5,681
Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mume wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe.
  • Hana raha na ndoa
  • Hana amani
  • Mke anamnyima unyumba
  • Mke mkorofi
  • Mke anaongea sana
  • Mke kachepuka na mengine mengi
99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point tunatumia(nikiwepo mimi) but unakuwa sio ukweli ni tamaa tu na papuchi yako so tunatafuta namna gani utatuelewa basi tunaona njia hiyo itakufanya unionee huruma na unipe mzigo kama unanisaidia vile.

But mara nyingi unakuta sababu hizo ni za uongo ni mara chache sana kukuta ni kweli.

Hivyo unapoamua kutembea na mme wa mtu hata akwambie nini juu ya mkewe we kipokee sikio hili kipitie linalofata mpe mzigo kama umemwelewa na mchune kwa nafasi yako but mweshimu yule mke wake maana ndo aliyemuona wa maana na akamuoa.

Mbunge (mchumba wa mtu) Huu upuuzi umenishangaza sana. Hivi unakuwaje mchumba wa mme au mke wa mtu? Takaka haijatoka mahakamani huyo ni mme wa mtu.

Hata wakigombana na kutengana miaka 20 wewe unapoenda kudate nae jua yule ni mme wa mtu so unaiba usiweke mahusiano yako hadharani mpaka pale talaka itakapotoka.

Bunge limenishangaza sana wanamchangia Catherine akamzike mchumba wake[emoji23][emoji23][emoji23] halafu mchumba ambaye ni mme wa mtu (talaka haijatoka) hata kama wametengana huo ni uzinzi na upuuzi hupaswi kutangaza.

Jifunzeni kwa mwenzenu tafadhali.
 
99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point tunatumia(nikiwepo mimi) but unakuwa sio ukweli ni tamaa tu na papuchi yako so tunatafuta namna gani utatuelewa basi tunaona njia hiyo itakufanya unionee huruma na unipe mzigo kama unanisaidia vile
Kwani unadhani hatujui basi!!! Ni kujitoa tu ufahamu na kujiaminisha 😡😡
 
Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mme wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe.
  • Hana raha na ndoa
  • Hana amani
  • Mke anamnyima unyumba
  • Mke mkorofi
  • Mke anaongea sana
  • Mke kachepuka na mengine mengi
99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point tunatumia(nikiwepo mimi) but unakuwa sio ukweli ni tamaa tu na papuchi yako so tunatafuta namna gani utatuelewa basi tunaona njia hiyo itakufanya unionee huruma na unipe mzigo kama unanisaidia vile.

But mara nyingi unakuta sababu hizo ni za uongo ni mara chache sana kukuta ni kweli.

Hivyo unapoamua kutembea na mme wa mtu hata akwambie nini juu ya mkewe we kipokee sikio hili kipitie linalofata mpe mzigo kama umemwelewa na mchune kwa nafasi yako but mweshimu yule mke wake maana ndo aliyemuona wa maana na akamuoa.

Mbunge (mchumba wa mtu) Huu upuuzi umenishangaza sana. Hivi unakuwaje mchumba wa mme au mke wa mtu? Takaka haijatoka mahakamani huyo ni mme wa mtu.

Hata wakigombana na kutengana miaka 20 wewe unapoenda kudate nae jua yule ni mme wa mtu so unaiba usiweke mahusiano yako hadharani mpaka pale talaka itakapotoka.

Bunge limenishangaza sana wanamchangia Catherine akamzike mchumba wake[emoji23][emoji23][emoji23] halafu mchumba ambaye ni mme wa mtu(talaka haijatoka) hata kama wametengana huo ni uzinzi na upuuzi hupaswi kutangaza.

Jifunzeni kwa mwenzenu tafadhali.
Waliomo bungeni wana maadili hata ushangae? Wezi wa kila kitu!
 
Hivi huu upuuzi wanaume tunatoa wapi wakuanza kumkandia wife wakati unaenda kusaka mbususu?

Jamani warembo wenyewe hawa maharage ya mbeya wee wka pesa atakupa tuu mbususu unajilia zako without drama za kijinga.

Wanawake nanyie acheni ujinga sisi waume za watu tunachofuata kwenu mbususu so mtuchune ipasavyo. Hapo ni tit for tat
 
Hata wakigombana na kutengana miaka 20 wewe unapoenda kudate nae jua yule ni mme wa mtu so unaiba usiweke mahusiano yako hadharani mpaka pale talaka itakapotoka.
Mkuu unatumia kinywaji gani? Hili liwe funzo kubwa sana.

Hata mume akiwa ICU kama talaka hakuna bado anahesabika ni mume tu.

Ndoa sio pete eti!? Hata iwe pete ya M100 bado ndoa ni makubaliano yamesainiwa na mashahidi juu mpaka mahakama ivunje ndio unaweza kuwa huru kudate nae.

Mkuu chukua 👊 afu shushia na 🍺🍺
 
Katika vitu ambavyo sifanyi na katu sitafanya ni kumzungumzia mke wangu katika vitu visivyomhusu au kumkandia. Natambua ana madhaifu mengi lakini katu sithubutu kumsema vibaya kwa mtu yeyote. Namheshimu kwa kuwa ni mama ya watoto wangu hivyo mengine naacha yapite.

Mke wangu na watoto they untouchable. Ukiwagusa tu tunakosana na inaweza kuwa mwisho wa ukaribu wetu iwe mwanaume au mwanamke.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom