Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Hapana mie saivi Niko mkoa,yeye yuko dizim Sasa nasababishaje ugomvi hapo?mwanaume ni muislam na anasema dini yake inatuhusu,tatizo nini hapo?
Ogopa sana kuingilia mapenzi ya watu na hasa chozi la mwenzio kudondoka kisa wewe! What goes around must come around dada ngojea utakuwa na kichaa zaidi ya huyo unayemuita mbishi
 
Huyu hatoi talaka anaongeza mke dini yake inatuhusu,hata kwa ndugu zake wote nishatambulishwa

Anaongeza mke sababu imani inamruhusu but hiyo iman inasemaje? Inasema uingie kwenye mahusiano na mme wa mtu mpk ipelekee ndoa yake iwe na migogoro na kupoteza aman halaf ndo uolewe mke wa pili?
 
Ogopa sana kuingilia mapenzi ya watu na hasa chozi la mwenzio kudondoka kisa wewe! What goes around must come around dada ngojea utakuwa na kichaa zaidi ya huyo unayemuita mbishi
Hicho kichaa siwezi pata,nimetongonzwa,na jamaa amesema hataki kuzini anataka halalisha kwa kuwa dini inatuhusu,wewe Nani umpangie? mbona huongei kuhusu huyo mwanaume alonitongoza huku akijua Ana mke nyumbani.
 
Anaongeza mke sababu imani inamruhusu but hiyo iman inasemaje? Inasema uingie kwenye mahusiano na mme wa mtu mpk ipelekee ndoa yake iwe na migogoro na kupoteza aman halaf ndo uolewe mke wa pili?
Mgogoro sijaleta mie,kaleta bi mkubwa kwa kujistukia,wakati mie Niko km 1200 toka dsm,si uzuzu huo!
 
Hicho kichaa siwezi pata,nimetongonzwa,na jamaa amesema hataki kuzini anataka halalisha kwa kuwa dini inatuhusu,wewe Nani umpangie? mbona huongei kuhusu huyo mwanaume alonitongoza huku akijua Ana mke nyumbani.
Sio kupanga......tunayaona vizuri tu mbona unafoka? Sikujui unijui, Ila siku moja ataletwa mwingine ndo utajua ni kichaa ama wazimu
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mkuu unatumia kinywaji gani? Hili liwe funzo kubwa sana.

Hata mume akiwa ICU kama talaka hakuna bado anahesabika ni mume tu.

Ndoa sio pete eti!? Hata iwe pete ya M100 bado ndoa ni makubaliano yamesainiwa na mashahidi juu mpaka mahakama ivunje ndio unaweza kuwa huru kudate nae.

Mkuu chukua 👊 afu shushia na 🍺🍺
Ndio maana mauaji ya kwenye ndoa yanazidi raha yangu mwenyewee nisubiri mahakama . Huyo Cath na huyo mke wamekutana pipa na mfuniko.
 
Kampiga mkewe sababu alienda sehemu akajazwa maneno kuhusu Mimi,akarudi n mihasira home kwake ,akaanza fanya vurugu na kumtukana mumewe,mume akakasirika akampiga na kumwumiza vibaya.Wakati yote yanatokea mimi Niko mkoa mwingine mbali na dsm.
Ndoa yako itakuwa na amani ya muda.......subiri kidogo utajionea
 
Wanajifariji Hawa mwanaume alimpenda Cathy,hayo mengine story za vijiwen,mie mwenyewe nategemea kuolewa mke wa pili jamaa karidhia manake ya muislam,Ila inachelewa manake mkewe mkorofi ,aliambiwa Hilo akagoma,Ila jamaa bad Niko naye licha ya kupigwa na mkewe,na juzi tu jamaa kanipiga mkewe Hadi akapelekwa police na ndugu wa mke,Ila jamaa amesimamia msimamo ye ni muislam na anahitaj ongeza mke.
😂😂😂😂 Ooohhh kumbe ndio maana nlivoandika mambo ya cathy kuwa na mme wa mtu ukaja juu....sasa nimeijua sababu.
Kila laheri huko kwenye kuolewa mke wa pili mimi kama ndio huyo mke nakupisha kabisa ujimwage ukae kifua mbereeee...
 
Kampiga mkewe sababu alienda sehemu akajazwa maneno kuhusu Mimi,akarudi n mihasira home kwake ,akaanza fanya vurugu na kumtukana mumewe,mume akakasirika akampiga na kumwumiza vibaya.Wakati yote yanatokea mimi Niko mkoa mwingine mbali na dsm.
Ooh
Nimekuelewa hakikisha anakuoa tu maana bila ndoa hutotambulika
 
😂😂😂😂 Ooohhh kumbe ndio maana nlivoandika mambo ya cathy kuwa na mme wa mtu ukaja juu....sasa nimeijua sababu.
Kila laheri huko kwenye kuolewa mke wa pili mimi kama ndio huyo mke nakupisha kabisa ujimwage ukae kifua mbereeee...
Mbona hapishi Sasa kutwa kugombana na mume kisa mtu aliye km 1200 toka alipo?jamaa kapenda Tena,moyo hauna limit ya kupenda.
 
Baadhi ya wanaume wataisoma mbingu kwenye vitabu vya dini tu hawataingia

sababu
1.uzinzi nje ya ndoa
2.uongo

kama we mstaarabu sana oa mke wa pili rasmi
 
Wanajifariji Hawa mwanaume alimpenda Cathy,hayo mengine story za vijiwen,mie mwenyewe nategemea kuolewa mke wa pili jamaa karidhia manake ya muislam,Ila inachelewa manake mkewe mkorofi ,aliambiwa Hilo akagoma,Ila jamaa bad Niko naye licha ya kupigwa na mkewe,na juzi tu jamaa kanipiga mkewe Hadi akapelekwa police na ndugu wa mke,Ila jamaa amesimamia msimamo ye ni muislam na anahitaj ongeza mke.
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16]

Msema kweli mpenzi wa Mungu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom