Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

What goes around ... comes around endelea kujiona mjanja kutesa ndoa ya watu kisa umeahidiqa kuolewa but siku zaja ambazo utasaga meno

Malaya wewe

Matusi ya nini wakati waislam wanaruhusu wake wanne kaka
 
Kampiga mkewe sababu alienda sehemu akajazwa maneno kuhusu Mimi,akarudi n mihasira home kwake ,akaanza fanya vurugu na kumtukana mumewe,mume akakasirika akampiga na kumwumiza vibaya.Wakati yote yanatokea mimi Niko mkoa mwingine mbali na dsm.
Kwahiyo utahamia Dar? Au utaolewa huko huko mkoani

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Katika vitu ambavyo sifanyi na katu sitafanya ni kumzungumzia mke wangu katika vitu visivyomhusu au kumkandia. Natambua ana madhaifu mengi lakini katu sithubutu kumsema vibaya kwa mtu yeyote. Namheshimu kwa kuwa ni mama ya watoto wangu hivyo mengine naacha yapite.

Mke wangu na watoto they untouchable. Ukiwagusa tu tunakosana na inaweza kuwa mwisho wa ukaribu wetu iwe mwanaume au mwanamke.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
Word!
 
Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mme wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe.
  • Hana raha na ndoa
  • Hana amani
  • Mke anamnyima unyumba
  • Mke mkorofi
  • Mke anaongea sana
  • Mke kachepuka na mengine mengi
99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point tunatumia(nikiwepo mimi) but unakuwa sio ukweli ni tamaa tu na papuchi yako so tunatafuta namna gani utatuelewa basi tunaona njia hiyo itakufanya unionee huruma na unipe mzigo kama unanisaidia vile.

But mara nyingi unakuta sababu hizo ni za uongo ni mara chache sana kukuta ni kweli.

Hivyo unapoamua kutembea na mme wa mtu hata akwambie nini juu ya mkewe we kipokee sikio hili kipitie linalofata mpe mzigo kama umemwelewa na mchune kwa nafasi yako but mweshimu yule mke wake maana ndo aliyemuona wa maana na akamuoa.

Mbunge (mchumba wa mtu) Huu upuuzi umenishangaza sana. Hivi unakuwaje mchumba wa mme au mke wa mtu? Takaka haijatoka mahakamani huyo ni mme wa mtu.

Hata wakigombana na kutengana miaka 20 wewe unapoenda kudate nae jua yule ni mme wa mtu so unaiba usiweke mahusiano yako hadharani mpaka pale talaka itakapotoka.

Bunge limenishangaza sana wanamchangia Catherine akamzike mchumba wake[emoji23][emoji23][emoji23] halafu mchumba ambaye ni mme wa mtu(talaka haijatoka) hata kama wametengana huo ni uzinzi na upuuzi hupaswi kutangaza.

Jifunzeni kwa mwenzenu tafadhali.
Haya... Tumesikia
 
Back
Top Bottom