Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Kifupi ni kwamba wewe unatembea na mme wa mtu hizo excuse unazotoa hazina mashiko

Enjoy mama ila ujue akikuoa baada ya miaka mitatu atataman mwingine huko nje na migogoro na wewe itaanza na atakuwa anamweleza wa nje exactly anavyokweleza kuhusu mkewe
Na atakupiga kama anavyofanya sahiz kwa mkewe na atlst atamuoa kama alivyokuoa wewe (ukijifunza kula nyama ya mtu huwez kula mara moja)
Umekosea kuquote....umenishtua!!!
 
Hapana Hana tabia ya kupiga,mwanamke ndo alimprovoke kwa maneno machafu na kashfa Kama zote,jamaa akashindwa jizuia,na Habari kanipa mdogo wake jamaa wa kiume,ambaye ananifahamu.
 
Ana hasira nami,tatizo mioyo imekutana[emoji1745][emoji125]

Wala sina hasira na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mm ni mme wa mtu na nina mchepuko pia[emoji23][emoji23]
Mimi najaribu kukuchana ukweli wewe kula huyo mme wa mtu kwa siri mkewe asijue maana inaondoa aman ya ile ndoa
Kula mme wa mtu sio kosa et unamsaidia mkewe maana ashazoea ile test ya k yake[emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa jitahid iwe siri mkewe asijue na hata kama jamaa anataka kukuoa fanyen kwa siri kwanza mpk ufike wakat wa kuoana ndo muweke waz
Ila sahiz ukisema muoane hata watu watapinga maana wataona kama we ndo migogoro ya ile ndoa
 
Hakunaga mume wa MTU ktk mila na utamaduni wa waafrika. Mambo hayo yapo nchi za mashoga na wasagaji. Afrika tuna mume wa watu. Mwanaume anaruhusiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja ili mradi awe na uwezo wa kuimudu familia yake. Tatizo wanawake wa sasa akishaongezewa mwenzake ana leta visa, fitina, hujuma, uzushi ugomvi hadi makaburini ili atambulike yeye tu. Rais mstaafu Mzee Mwinyi ana wake wawili Bibi Khadija na Sitti Mwinyi, Jacob Zuma wa South Africa wake wanne hakuna jipya, watu waheshimu mapenzi ya marehemu kila mwanamke apewe heshima yake. Mungu ndiye atahukumu khiyama kama mke zaidi ya mmoja hairuhusiwi na ataeleza why aliruhusu manabii wawe na mke zaidi ya mmoja ila hakuwahi kuruhusu ushoga.

View attachment 1801060

View attachment 1801061

View attachment 1801062

View attachment 1801063
Kumbe alive chukua mkwanja na kwenda olewa Arabia kesha rudi?
 
Wala sina hasira na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mm ni mme wa mtu na nina mchepuko pia[emoji23][emoji23]
Mimi najaribu kukuchana ukweli wewe kula huyo mme wa mtu kwa siri mkewe asijue maana inaondoa aman ya ile ndoa
Kula mme wa mtu sio kosa et unamsaidia mkewe maana ashazoea ile test ya k yake[emoji23][emoji23][emoji23] kikubwa jitahid iwe siri mkewe asijue na hata kama jamaa anataka kukuoa fanyen kwa siri kwanza mpk ufike wakat wa kuoana ndo muweke waz
Ila sahiz ukisema muoane hata watu watapinga maana wataona kama we ndo migogoro ya ile ndoa
Sijawahi weka wazi alifuma meseji kwenye simu y mumewe ndo ugomvi ukaanza,n watu kumpelekea maneno,ila hatujawah mwonyesha hadharan,Wala kumdharau.
 
Aaaaahhhh jamani bi mdogo weeeee ndoa ya mke wa pili na kuendelea yahitaji matashtiti, matarumbeta mtaa kwa mtaa nyumba kwa nyumba
Mie sio mtu wa Kiki,niligraduet chuo kikuu na hta mahafali sikuhudhuria,nikiwa na 4.4 gpa, kwenye chuo kinchotambulika ulimwenguni.
 
Wala mioyo imekutana tu,nishadate na kuzaa na wenye Mali na kampuni zao,ili niliondoka kimyakimya bila vurugu Wala ugomvi🙏go figure 🏊🏃⛹🏾‍♀️
Eeeh jamani mambo ni mengi hapa....nikajua kabinti kadogo kabichi, kumbe mkubwa mwenzie enhee kwahiyo hii sio ndoa ya kwanza na watoto pia unao???

witnessj mletee mwali mkeka akae, mambo yameanza upya.
 
Back
Top Bottom