Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,395
- 2,391
UWe makini kwenye cheti cha ndo. Kunakuwa na option pale
Ndoa za wake wengi au ndoa ya mke mmoja ukiona tik kwenye mke mmoja kaa ujue ww ni mchepuko tu. Ukiona tik kwenye wake wengi na upewe copy ya cheti ili kuepuka migogoro ya baadae.
sio mnafunga ndoa za maneno tu bila vigezo mwishoni mnadhalilika kama Cathe

Wanajifariji Hawa mwanaume alimpenda Cathy,hayo mengine story za vijiwen,mie mwenyewe nategemea kuolewa mke wa pili jamaa karidhia manake ya muislam,Ila inachelewa manake mkewe mkorofi ,aliambiwa Hilo akagoma,Ila jamaa bad Niko naye licha ya kupigwa na mkewe,na juzi tu jamaa kanipiga mkewe Hadi akapelekwa police na ndugu wa mke,Ila jamaa amesimamia msimamo ye ni muislam na anahitaj ongeza mke.