Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Yani haumvimbii yeye, ila unavimba ukiwa ndani kwako bi mdogo huku wanukia udi.... moyoni wajichekea
Wala,mie nakula kwa nafasi yangu na natambua uwepo wake Kama bi mkubwa.Hizo tafran anazofanya hazina hata nafasi kwenye penzi letu,sie tunamuheshimu,kumtmbua na tumekaa kimya tukifanya yetu na muda utaongea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Esma kiranga chote kwisha, alidhani atakua bi mdogo wa taifa.....
Esma nae ana kagundu, ....but mi nilimuelewa anasema msizwa alikuwa amekuja kumchuna pesa na hakuwa na shida na ndoa, alitaka Shem( domo) ampe mil200 akatanue business zake

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Ana mdomo mno plus kiherehere mingi kwenye mahusiano ya kaka ake.....
Ilitakiwa akimbiwe ukumbini kabisa 😂
 
Huogopi kulogwaa?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Kashajaribu Mara kibao,mwishoni ndo akanipa kichapo,alinikuta sehemu na wadau,akiwa na mumewe,kitendo cha kuniona pale alinirukia na kunipiga sana,nimemsamehe na kwa hilo nikaamua niendelee na jamaa kufidia kipigo,manake nilikuwa nishapanga kumwacha huyo mine wake.
 
Na kuna watu hawatakagi ujinga....
Kuna mama mmoja kazikwa miezi miwili iliyopita, siku hiyo katoka ferry kufata samaki aanze biashara zake kafikisha mzigo ndani, kuingia bafuni akaanguka dakika chache tu akadanja.

Za mtaani sasa eti alikua anachukua mali ya mtu, mwenye mume yupo rufiji na kishamkanya sana mama haelewi sijui ni kweli sijui chai za mtaa
 
Kumbe nawe uko vizuri, umejipanga kwakifupi haulogeki....
 
Aaah kwa hiyo umeamua kuolewa ili umkomeshe bi mkubwa eeh?

Kifupi ni kwamba wewe unatembea na mme wa mtu hizo excuse unazotoa hazina mashiko

Enjoy mama ila ujue akikuoa baada ya miaka mitatu atataman mwingine huko nje na migogoro na wewe itaanza na atakuwa anamweleza wa nje exactly anavyokweleza kuhusu mkewe
Na atakupiga kama anavyofanya sahiz kwa mkewe na atlst atamuoa kama alivyokuoa wewe (ukijifunza kula nyama ya mtu huwez kula mara moja)
 
Aaah kwa hiyo umeamua kuolewa ili umkomeshe bi mkubwa eeh?
No simkomeshi ni mapenzi Kati yangu na jamaa,nilipanga nimwache kimya kimya kupunguza vurugu zake manake akisikia Niko dizim ni ugomvi nyumbani kwake daily,Hadi niondoke,Sasa hiyo siyo sawa kudhalilishana mtaani.
 
Back
Top Bottom