Wanawake naomba kabla sijaenda kwenye mada muelewe hili Kila mme wa mtu atakayekutongoza lazima atamkandia mkewe.
- Hana raha na ndoa
- Hana amani
- Mke anamnyima unyumba
- Mke mkorofi
- Mke anaongea sana
- Mke kachepuka na mengine mengi
99% ya wanaume wanapotongoza nje ya ndoa hizo ndio point tunatumia(nikiwepo mimi) but unakuwa sio ukweli ni tamaa tu na papuchi yako so tunatafuta namna gani utatuelewa basi tunaona njia hiyo itakufanya unionee huruma na unipe mzigo kama unanisaidia vile.
But mara nyingi unakuta sababu hizo ni za uongo ni mara chache sana kukuta ni kweli.
Hivyo unapoamua kutembea na mme wa mtu hata akwambie nini juu ya mkewe we kipokee sikio hili kipitie linalofata mpe mzigo kama umemwelewa na mchune kwa nafasi yako but mweshimu yule mke wake maana ndo aliyemuona wa maana na akamuoa.
Mbunge (mchumba wa mtu) Huu upuuzi umenishangaza sana. Hivi unakuwaje mchumba wa mme au mke wa mtu? Takaka haijatoka mahakamani huyo ni mme wa mtu.
Hata wakigombana na kutengana miaka 20 wewe unapoenda kudate nae jua yule ni mme wa mtu so unaiba usiweke mahusiano yako hadharani mpaka pale talaka itakapotoka.
Bunge limenishangaza sana wanamchangia Catherine akamzike mchumba wake[emoji23][emoji23][emoji23] halafu mchumba ambaye ni mme wa mtu(talaka haijatoka) hata kama wametengana huo ni uzinzi na upuuzi hupaswi kutangaza.
Jifunzeni kwa mwenzenu tafadhali.