Wanawake jifunzeni kwa Mbunge Catherine

Nawe utadundwa ni suala la muda tu[emoji3]
 
Mume wa mtu akinitongoza halafu najua sio wangu na mchuna kama hana hela apite hivi .
Kwani nikimpa bure nasio wamalengo sishida tu .
Woi bora niwe single .
 
Hii ina apply pia kwa wanaume ukiona mke wa mtu anakutaka kwa kuikandia ndoa yake ujue si mkweli ni tamaa tu inamuongoza
 
Mwanaume akiishiwa mbinu zote, anakuja na hiyo ya kuonewa huruma😂😂.
Na dada zetu walivyo na huruma aisee anakususia mbususu kweli
 
Anaongeza mke sababu imani inamruhusu but hiyo iman inasemaje? Inasema uingie kwenye mahusiano na mme wa mtu mpk ipelekee ndoa yake iwe na migogoro na kupoteza aman halaf ndo uolewe mke wa pili?
Halafu ategemee kuishi kwa Amani katika hiyo NDOA!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sikuambiwa hayo. Akijifanya anamponda mke wake mpe shushu atulize mshono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…