MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
- Thread starter
- #241
Basi wewe sio mnywaji 😅Yaaan nakula bfoo kunywa Ila baada ya hapo siwezii Tena ukute sio nyama.....
Mimi Bar naingia saa 9 au 10 alasiri almost kila siku apo lunch unakuta tayari, usiku lazima nipate mchemsho wowote ndo nilale.