Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

nilichogundua wanaume wengi wanaotetea wanawake kwenye ishu ya kupika kwenye huu uzi wengi wao wamejaa kwenye pm za hao wadada kujinadi, poleni.
This is pure manipulation, una wa-manipulate wenzio ili wakuunge mkono?

Zoea kupingwa it’s not personal, not necessarily atakayewatetea wanawake akawa ana shinda kwenye PM zao.
 
Umelelewa vizuri. Big up kwa wazazi wako. Wenzako ndo maana ndoa zinawashinda maana wanaoa ili wapikiwe chakula na kufuliwa nguo. Wa.atakiwa kuajiri wapishi...wamejaa tele na wamesomea fani hiyo.
Nilijifunza kupika kwasababu sipendi vyakula vya mitaani(Chipsi+Vyakula vya mamantilie) na industrial made foods.
Hio ndio iliyo ni motivate nianze kupika mwenyew.
 
Mkuu hakuna usasa kwenye kanuni za kiasili...

Mleta mada analalamika juu ya mwanamke kushindwa kutimiza kanuni ya asili...

Yes mwanaume anaweza kupika, anaweza kuwa msaada katika kuandaa maakuli, sasa iweje mwenye jukumu la kiasili ashindwe?
Mzee ukimsoma vizuri mleta mada ni wale vijana wa kuleta visichana magetoni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi wali wa kupikwa kwa Rice Cooker sili abadani.
 
Mwanamke ambae hajui kupika SITAKI hata kumuona. Kwanini?

Mimi najua kupika sana, na napenda kula vizuri. Sasa kuoa Mwanamke ambae hajui kupika sitaki kulisikia hilo swala. Sitaki kuishi kibachela wakati nimeoa.
 
upo kama mimi mkuu, mimi kwenye suala la kupika niko vizuri sana ila izo kazi kama unavojua sisi wanaume hatufit.
sasa kuna stage mwanaume unafikia inabidi uvute msaidizi wa kukusaidia majukumu kama hayo ili ionekane kweli umeaga ubachela af unakutana na changamoto kama iyo, like wtf.!!
 
Wanawake wa siku hizi wanajua kubandika makuchaa ,kujipodoa uso,kushinda kweny kioo,insta, FB ,X, ,ila kupika ni mtihani
 
upo kama mimi mkuu, mimi kwenye suala la kupika niko vizuri sana ila izo kazi kama unavojua sisi wanaume hatufit.
sasa kuna stage mwanaume unafikia inabidi uvute msaidizi wa kukusaidia majukumu kama hayo ili ionekane kweli umeaga ubachela af unakutana na changamoto kama iyo, like wtf.!!
Yaan Wanawake wengi hawajui kupika siku hizi. Hata hao wa vijijini ni mabomu kabisa maana kuna beki 3 wetu hapa aisee anapika roast kama anachemsha supu.
 
Kwanza: Kama hujamuoa usimpe majukumu ya mke, kupika ikiwemo si ndivyo tulivyojadili katika nyuzi kibao humu?

Pili: Kama ni mke na umemuoa umegundua hajui kupika mrudishe kwao akajifunze.

Tatu: Wanawake wote wa JF tunajua kupika, kwa reference zaidi kaangalie uzi wa vyakula. Hivyo hii mada haituhusu na kwa heshima na taadhima tunaomba muwaambie watu wenu huko huko.

Nne, wanaume wa JF wengi wenu mnafanya Online gender based violence (OGBV) as if hao wanawake zenu hawana jema hata moja.

Mwisho siku nikigundua shemeji yenu yupo humu, ntampa likizo ya miezi 6, agghr wanaume humu mna gubu bwana!
Nipo hapa nakula wali wa rice cooker
Nyiee 😂😂

B4 uishe emu nikaupost kule..
 
Back
Top Bottom