Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Mada za kuwadhalilisha mama na dada zetu ifike mahali zikomeshwe .. Si kila kitu akiweze vingine ni kusaidiana.. Swala la mapishi hata mwanaume anaweza kufanya
Mkuu najua wanawake wengi wasiojielewa wataipenda hii post yako...
Mwanamke kwa asili kaumbwa kulea au kutunza watoto na familia na ndio maana anaitwa MAMA...
Moja ya hitaji muhimu la binadamu kati ya yale matatu ni chakula...
Mwanaume kaandikiwa kukitafuta chakula na kukileta kwa familia, mwanamke anamalizia kwa kuhakikisha namna familia itavyoweza kukitumia chakula hicho...