Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mama yake mdogo baby K hana hamu kilichomkuta na Biso kanasa eti anatema mate si katupiga jamani mara hii??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tayari kishaingia kwenye ukoo.

Sema ukoo wenu unapendwa sana, kila mtu atafanya namna aingie[emoji23][emoji23]
 
Ubunifu muhimu Sana Kuna demu nilikuwa nampikia chakula anabaki kushangaa wiki mbili alizokula msosi wangu alipendeza Sana kiufupi chakula ni kitu muhimu kwa MAISHA ya binadamu sio busara Mwanamke kaolewa anaanza kuchukulia kawaida akiamini uchi wake ndo utampa Maisha .

Mtu anayekula vizuri kwanza anakuaga na furaha na tabasamu Sana sema wanawake hawajui
Mtufundishe
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tayari kishaingia kwenye ukoo.

Sema ukoo wenu unapendwa sana, kila mtu atafanya namna aingie[emoji23][emoji23]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Yani oddo akiyapata sijui itakuwaje?!!
Siku nitakayompa umbea nitamrecord usikie atakachosema
 
Umefika mama wala usijali, mi najua kupika kwaio hata mwanamke asipojua kupika mi kwangu sawa tuu.
Umefika mama wala usijali, mi najua kupika kwaio hata mwanamke asipojua kupika mi kwangu sawa tuu.
Umelelewa vizuri. Big up kwa wazazi wako. Wenzako ndo maana ndoa zinawashinda maana wanaoa ili wapikiwe chakula na kufuliwa nguo. Wa.atakiwa kuajiri wapishi...wamejaa tele na wamesomea fani hiyo.
 
Back
Top Bottom