Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
ππππππππDah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππππDah
Kiukweli muda ni kikwazo....hv nitoke kwenye mihangaiko yangu saa mbili usiku nianze kusukuma chapati wakati Kuna tambi na mayai π€£π€£π€£π€£π€£πππKwakweli ndio maana mna flat tummy
Mie bila ubwabwa sitoboi ila wadada wengi wanajua kupika tatizo muda tu
bado hunishawishi, sidhani kama kuna mwanamke atakubali ndoa yake ivunjike kisa hajui kupika, labda hakupendiNinamfahamu binti harusi yake nilihudhuria (wazazi wake tunatoka kijiji kimoja) aliolewa na mkenya yule binti hakukaa hata mwezi jamaa alirudisha kwao wamfundishe kupika na kufanya usafi wa nyumba na wake pia,utakapotaka ajifunze atakwambia weka house maid ayafanye hayo coz kwao hawakuwa wakipika wala kufua.
Aged 24 anarundika chupi kwenye tenga zinakaa mwezi kisa anazo nyingi kuchemsha hata maji kwenye gas hajui aanzie wapi,haya ni mambo yapo sisi wenye familia leo inabidi tuzingatie sana kwamba tunapofanya jukumu la malezi tujue tunalea mume wa mtu na mke wa mtu wa kesho
Mara utasikia mna michirizi
Sasa matiti wanataka yasimame yatundike koti au na wanavyoyanyonya pumbavu hawa[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Na kuyazungusha utafkiri anatafuta radio station ππππYani mtu anavuta chuchu na mijino yake 32 afu anataka yabaki hivo hivo [emoji57][emoji57]
Eeeewe unaweza kupika nnWanawake wa sikuizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko?
Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa yupo geto ila unalazimika kwenda restaurant kutafuta msosi ili upeleke mle pamoja kisa mpenzi wako hajui kupika. Unaweza kuta foleni ya vijana wa kiume kwenye vibanda vya chips ukazani ni wao wanakula kumbe wameagizwa na wale wa kuitwa pisi kali uko magetoni.
Kitu pekee mnachojitaidi kupika ni wali [kwenye rice cooker] na kuchemsha chai kwenye jagi.
Kuna wengine baadhi wapo kwenye ndoa ila linapokuja suala la kupika kwao ni kipengele, wanawapakazia wafanyakazi wa ndani.
Tatizo ni kubwa sana hususani kwa hawa wanawake waliofika chuo, tena usiombe ukute kabandika tips kwenye kucha.!!
Basi kama huwezi kupika ugali jitaidi kabla hujaolewa angalau uwe unajua kupika chapati laini za kusukuma.!! na pakujifunzia ni ukuku magetoni maana uko majumbani kwenu kila kazi mmewatelekezea wadada wa kazi.!!
Mnafanya baadhi ya wanaume tunaojielewa na waowaji kuwa hit & run.!!!
Ni mwendo wa kukaanga mayai...kigetogeto
Kwenye friji hukosi mayai na mkate na juice ya ceres just in case of anything[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kweli kabisa ni ngumu wengine hatuna kazi za kutubana pia ni hobby tunapika hata usiku wa manane π€£π€£π€£Kiukweli muda ni kikwazo....hv nitoke kwenye mihangaiko yangu saa mbili usiku nianze kusukuma chapati wakati Kuna tambi na mayai π€£π€£π€£π€£π€£
Mtanivunja mbavu ππNa kuyazungusha utafkiri anatafuta radio station ππππ
Na kuyazungusha utafkiri anatafuta radio station [emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
πππYa nn kujitesa mwaya anaoa mke sio mpishiMe nimejikomboa nimeweka binti nikitamani chakula namwambia, wageni wakija anafanya mambo basi akuuuu sio shida zangu!!!
Kila jmos naenda stereo kumkusanyia mazaga yote ya jikoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nikiolewa naenda naye akanisaidie kupika kwa mume
Hili wqzo konki ngoja na mie nitafute binti jamani nachoka sana sasa binti awe anajua kupika maana napo mtihaniMe nimejikomboa nimeweka binti nikitamani chakula namwambia, wageni wakija anafanya mambo basi akuuuu sio shida zangu!!!
Kila jmos naenda stereo kumkusanyia mazaga yote ya jikoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na nikiolewa naenda naye akanisaidie kupika kwa mume
Mapishi Sanaa aisee
Kuna namna ukiwa na vitu tayar akili ishajua unachopika kinakuwaje ndio maana rahis hata kukadiria chumvi bila kuonja
Hakunaga tuzo ya mtesekaji bora wasaidizi muhimu sanaπππYa nn kujitesa mwaya anaoa mke sio mpishi
Ni kweli Kuna mda hakuna nafasi umebanwaHakunaga tuzo ya mtesekaji bora wasaidizi muhimu sana
[emoji3][emoji3][emoji3]Ya nn kujitesa mwaya anaoa mke sio mpishi
Hili wqzo konki ngoja na mie nitafute binti jamani nachoka sana sasa binti awe anajua kupika maana napo mtihani
Kuna kuteseka na kuishi standard life katika vitu ambavyo unabidi kuwa navyo makini ni Pamoja na chakula usikubali kula ilimradi anda chakula bora ambacho akitakupa madhara na utabaki na Mwili mzuriHakunaga tuzo ya mtesekaji bora wasaidizi muhimu sana
Hakunaga tuzo ya mtesekaji bora wasaidizi muhimu sana
Iko hivi,ktk ukuaji kuna vitu sisi watoto huvirithi moja kwa moja kutoka kwa wazazi wetu na hivi kama mtu hakufanikiwa kurithi vilivyo vyema huwezi leo wewe mtu baki kumfundisha avifanye sawa sawa eti kwa sababu anakupenda,hata kama anakupenda atakukinai kwa sababu utakuwa unamtaka awe mtu ambae anajua hawezi kuwa.bado hunishawishi, sidhani kama kuna mwanamke atakubali ndoa yake ivunjike kisa hajui kupika, labda hakupendi
ni kumpa muda tu ajifunze