Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Swala la kupika hata sio shida.
Shida ni uvivu.
Uvivu umewatawala kuanzia kufanya shughuli za nyumbani mpaka kitandani.
Ndo yale mwisho wa siku mwanaume anasinzia kwenye gemu.
Ukishaamua kuolewa basi ukubali kuishi maisha ya ndoa.
Tatizo mabinti wa sasa wanataka kuendana na kila kitu.
Ndio maana hata wakiolewa wanaolewa kwa mihemko
Miezi miwili tu kaishachoka maisha ya ndoa anaona bora aachike ndio maana suala la ndoa za kudumu hivi sasa ni nadra sana.

Wanawake badilikeni
 
Si unamfundisha tu
Hilo alitakiwa ajifunze akiwa kwao.

Sema hawa mabinti waliokulia kwenye hizi familia zilizokuwa na mabeki tatu na hakukuwa na zamu ya kupika nyumbani chumba chake anafanyiwa usafi anafuliwa ni bomu hawajui KUPIKA wala USAFI
 
Kidawa naomba ufungue cooking class tushachambwa huku hatujui kupika
😂😂Dadaangu Mimi mwenyew tia maji tia maji mtaachwa kabisa kama mm ndo Mwalimu wa hayo mapishi 😂😂😂
 
Wanawake wa sikuizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko?

Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa yupo geto ila unalazimika kwenda restaurant kutafuta msosi ili upeleke mle pamoja kisa mpenzi wako hajui kupika. Unaweza kuta foleni ya vijana wa kiume kwenye vibanda vya chips ukazani ni wao wanakula kumbe wameagizwa na wale wa kuitwa pisi kali uko magetoni.

Kitu pekee mnachojitaidi kupika ni wali [kwenye rice cooker] na kuchemsha chai kwenye jagi.

Kuna wengine baadhi wapo kwenye ndoa ila linapokuja suala la kupika kwao ni kipengele, wanawapakazia wafanyakazi wa ndani.

Tatizo ni kubwa sana hususani kwa hawa wanawake waliofika chuo, tena usiombe ukute kabandika tips kwenye kucha.!!

Basi kama huwezi kupika ugali jitaidi kabla hujaolewa angalau uwe unajua kupika chapati laini za kusukuma.!! na pakujifunzia ni ukuku magetoni maana uko majumbani kwenu kila kazi mmewatelekezea wadada wa kazi.!!

Mnafanya baadhi ya wanaume tunaojielewa na waowaji kuwa hit & run.!!!
Fanya au toa utafiti utende haki badala ya mjumuisho ambao ni ushahidi wazi wa ukilaza mwanangu
 
Watoto sikuiz wanapikiwa vyakula havina lishe, kila siku mtoto anakula tambi, ubwabwa na sembe kila siku unategemea watakua lini? Unakutana na mtoto unafikiri yuko shule ya msingi kumbe sekondari tena form 4.!!
Inasikitisha sana. Shida inaanzia kwa mwanamke asipojua kupika watoto watapikiwa mivyakula ya hovyo sana
 
Hilo alitakiwa ajifunze akiwa kwao.

Sema hawa mabinti waliokulia kwenye hizi familia zilizokuwa na mabeki tatu na hakukuwa na zamu ya kupika nyumbani chumba chake anafanyiwa usafi anafuliwa ni bomu hawajui KUPIKA wala USAFI
Lakini ni ishu ya kuelekezana ila nyie hamtaki kurekebisha ndio shida
 
Wanawake wa sikuizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko?

Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa yupo geto ila unalazimika kwenda restaurant kutafuta msosi ili upeleke mle pamoja kisa mpenzi wako hajui kupika. Unaweza kuta foleni ya vijana wa kiume kwenye vibanda vya chips ukazani ni wao wanakula kumbe wameagizwa na wale wa kuitwa pisi kali uko magetoni.

Kitu pekee mnachojitaidi kupika ni wali [kwenye rice cooker] na kuchemsha chai kwenye jagi.

Kuna wengine baadhi wapo kwenye ndoa ila linapokuja suala la kupika kwao ni kipengele, wanawapakazia wafanyakazi wa ndani.

Tatizo ni kubwa sana hususani kwa hawa wanawake waliofika chuo, tena usiombe ukute kabandika tips kwenye kucha.!!

Basi kama huwezi kupika ugali jitaidi kabla hujaolewa angalau uwe unajua kupika chapati laini za kusukuma.!! na pakujifunzia ni ukuku magetoni maana uko majumbani kwenu kila kazi mmewatelekezea wadada wa kazi.!!

Mnafanya baadhi ya wanaume tunaojielewa na waowaji kuwa hit & run.!!!

Mnataka wadad pisi kali wafuga kucha wasio na makovu at the same time wajue kupika ugali bamia tena jiko la mkaa au gesi ya figa moja alooo em acheni kuchekesha basi,, kuna kujikata, kuungua na mafut nk mtashindwa kutoka nao out na kuwatambulisha maan mnapenda vitu vya ajabu,, ndo maana wadada wanaamua zao kujituliza tuliiii ili wasipate jeraha lolote msije mkawakimbia maana wanaume wa sikuhizi wanapenda showoff za kingese kuliko hata wadada,,, enwei endeleeni kusema yaaan mpka mseme mkishamaliza mtarudi vibandani kununua chips mtuletee tule
 
Imefika hatua mwanamke anaweka kahawa kwenye wali eti igeuke pilau
 
Sio kupika tu hata usafi hawafanyi usafi wao wa Mwili Mimi nilivyogundua hili Jambo niliamua kuchukua kadi kwa dronedrake .

Maana Ukila chakula unaishia kuhrisha ukimgusa Mwili unakula UTI Sugu shida tupu
Mzee we usijali, wewe fanya usafi wa mwili wako vizur na usafi wa ghetto.

Akija mwenyew akiona ghetto linang'aa atakubali tuu.

Napendaga ile demu anaingia chooni alaf anasema "duuh jamani we mkaka choo chako kinanukia, sinki jeupe" nachekaga tuu najua nishachukua point 3.
 
Lakini ni ishu ya kuelekezana ila nyie hamtaki kurekebisha ndio shida
Hamna muda wa kuelekezana.

Mwanamke anayejielewa wakati wa uchumba lazima atatafuta siku aje hata kwako akupikie chakula au atakukaribisha kwao apike chakula uone mapishi yake

Sio manzi kila siku anataka mkutane samaki samaki au kfc njoo kwangu toa kitu nione
 
Back
Top Bottom