Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
πππππDahImefika hatua mwanamke anaweka kahawa kwenye wali eti igeuke pilau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππDahImefika hatua mwanamke anaweka kahawa kwenye wali eti igeuke pilau
π€£π€£π€£Imefika hatua mwanamke anaweka kahawa kwenye wali eti igeuke pilau
Wanaume huwa tunajua ukipika chakula cha hovyo au kizuriWe unajua kupika kwanza tuanzie hapo
Oya Gheto langu sio lakuingiza MALAYA Mimi hao mademu nilikuwa nawaingiza kwenye Gheto la wanafunzi wa chuo yaani Mimi Gheto nalotumia kuishi niingize demu au Malaya πMzee we usijali, wewe fanya usafi wa mwili wako vizur na usafi wa ghetto.
Akija mwenyew akiona ghetto linang'aa atakubali tuu.
Napendaga ile demu anaingia chooni alaf anasema "duuh jamani we mkaka choo chako kinanukia, sinki jeupe" nachekaga tuu najua nishachukua point 3.
NakaziaKila kitu kinahitaji investment, wekeza kwa.Mkeo mnunulie vyombo vizuri, na cookingware
Muavhie hela nyingi ya matumizi sio unaacha afutatu afu unataka upikiwe vizuri we ulisikia wapi πππ
Basi achana na wasiojua kupika ili usilete malalamiko ya kipumbavu hapa JFUmeandika upupu.
Mwanamke mapishi.!!
Kila kitu kinahitaji investment, wekeza kwa.Mkeo mnunulie vyombo vizuri, na cookingware
Muachie hela nyingi ya matumizi sio unaacha afutatu afu unataka upikiwe vizuri we ulisikia wapi πππ
Je wewe mme wako umpikii hapo ikulu?Basi achana na wasiojua kupika ili usilete malalamiko ya kipumbavu hapa JF
Kesho watakuja tupunguze vitambi vinawakera kwenye mnyanduano bibi haonekani![]()
![]()
![]()
Sasa matiti wanataka yasimame yatundike koti au na wanavyoyanyonya pumbavu hawaππππππ[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hatareee
Sasa matiti wakitaka yaendelee kusimama waache kuyanyonya!! Na wewe ni mmojawapo [emoji23][emoji23][emoji23]
Nani kazungumzia malayaπOya Gheto langu sio lakuingiza MALAYA Mimi hao mademu nilikuwa nawaingiza kwenye Gheto la wanafunzi wa chuo yaani Mimi Gheto nalotumia kuishi niingize demu au Malaya π
Mapishi ni viungoMbona hiyo Afutatu Kama anajua kupika lazima atatoa kitu kizuri hata Kama Cha Bei Rahisi
Bora we unaleta recipe zako humu tunaziona Akina siye Sasa π π πππDadaangu Mimi mwenyew tia maji tia maji mtaachwa kabisa kama mm ndo Mwalimu wa hayo mapishi πππ
Wewe fundi kabisaBora we unaleta recipe zako humu tunaziona Akina siye Sasa π π π
Ni mwendo wa kukaanga mayai...kigetogetoWewe fundi kabisa
Mimi sio mpishi mzuri sema tu napenda iyo kazi lakini kwaujuzi Wala Sina lolote
Ninamfahamu binti harusi yake nilihudhuria (wazazi wake tunatoka kijiji kimoja) aliolewa na mkenya yule binti hakukaa hata mwezi jamaa alirudisha kwao wamfundishe kupika na kufanya usafi wa nyumba na wake pia,utakapotaka ajifunze atakwambia weka house maid ayafanye hayo coz kwao hawakuwa wakipika wala kufua.mbona ni kitu kidogo sana atajifunza tu....
mambo mengine mnayapa sana umuhimu
πππKwakweli ndio maana mna flat tummyNi mwendo wa kukaanga mayai...kigetogeto
Kwenye friji hukosi mayai na mkate na juice ya ceres just in case of anythingππππ
Kama hujui hujui tuMapishi ni viungo