Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Wanawake jifunzeni mapishi, mnatia aibu

Tafuta wa kutoka Tanga au Malawi utaenjoy [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaye wa kutoka Tanga anapika balaa, na usafi yuko vizuri!! Sema Kantry akija anamtolea macho kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itabidi nichague mmoja dada au Kantry nishaona dalili mbaya bff
Kulaanina kuliko tumkose dada bora tumkose kantry mxxxiiu 😆😆😆
 
Tafuta wa kutoka Tanga au Malawi utaenjoy [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninaye wa kutoka Tanga anapika balaa, na usafi yuko vizuri!! Sema Kantry akija anamtolea macho kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Itabidi nichague mmoja dada au Kantry nishaona dalili mbaya bff
[emoji23][emoji23][emoji23] hii nimeielewa, nimesoma cuba.

C.a.z........
 
Wanawake wa sikuizi sijui mmekuja kuwaje kwenye suala la mapishi ya jikoni. Ivi mnajua kwanini mwanaume akioa waswahili tunasema Kavuta Jiko?

Unakuta kijana umeopoa dem au mchumba wako kabisa yupo geto ila unalazimika kwenda restaurant kutafuta msosi ili upeleke mle pamoja kisa mpenzi wako hajui kupika. Unaweza kuta foleni ya vijana wa kiume kwenye vibanda vya chips ukazani ni wao wanakula kumbe wameagizwa na wale wa kuitwa pisi kali uko magetoni.

Kitu pekee mnachojitaidi kupika ni wali [kwenye rice cooker] na kuchemsha chai kwenye jagi.

Kuna wengine baadhi wapo kwenye ndoa ila linapokuja suala la kupika kwao ni kipengele, wanawapakazia wafanyakazi wa ndani.

Tatizo ni kubwa sana hususani kwa hawa wanawake waliofika chuo, tena usiombe ukute kabandika tips kwenye kucha.!!

Basi kama huwezi kupika ugali jitaidi kabla hujaolewa angalau uwe unajua kupika chapati laini za kusukuma.!! na pakujifunzia ni ukuku magetoni maana uko majumbani kwenu kila kazi mmewatelekezea wadada wa kazi.!!

Mnafanya baadhi ya wanaume tunaojielewa na waowaji kuwa hit & run.!!!
Ukiwa na Pesa Kuna vitu huwezi lalamikia mwanamke[emoji23]
 
Kuna kuteseka na kuishi standard life katika vitu ambavyo unabidi kuwa navyo makini ni Pamoja na chakula usikubali kula ilimradi anda chakula bora ambacho akitakupa madhara na utabaki na Mwili mzuri


Nadhani. Mnawaona wanawake jinsi wanavyoteseka na maradhi ambayo chanzo ni Life style so tujitahidi kuzingatia hapo .

Unakuta binti yupo Around 20s lakini anaonekana kashaisha amechoka balaa
Ni kweli mkuuu chakula ni kitu cha kuzingatia sana
 
Bora dada asepe, sasa hivi hata mwenyewe fundi ni kupeana zamu tu. Pilau nimelijulia, jpili nilitoa kitu cha hatari[emoji23]

Unavutia kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio siku mbili unaanzisha uzi hapa?!!!
Hilo pilau nina wasi nalo hajapika dada kweli?
 
Unavutia kwako [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sio siku mbili unaanzisha uzi hapa?!!!
Hilo pilau nina wasi nalo hajapika dada kweli?
Hapana mara moja moja napika mwenyewe kama for fun, sio muda wote kuwa serious tu[emoji23]
 
Hapana mara moja moja napika mwenyewe kama for fun, sio muda wote kuwa serious tu[emoji23]

Afu siku zinazobaki napika mimi?? Thubutuu!!
Punguza uchu dada abaki hekaheka za jikoni siziwezi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwaili kaka umekosea kwaiyo unataka kusema tuwekeane zamu na mwanamke kuhusu kupika na kama sina uwezo wa kuweka house girl inakuaje tena unakuta maali yenyewe wamekomaa millioni 3 hawajapunguza hata mia alafu jitu lenyewe box kupika zero
kwa hiki umeandika hapa akili huna ndugu! Maisha yamerahisishwa. Mkeo hajui kupika kwanini usimlipie miezi 2-3 ajifunze mapishi? acha roho mbaya ya kusema vibaya wanawake wewe, kuwa na adabu. Kuna vifaa sikuhizi vinafanya karibu kila kitu Cha jikoni kwann usimnunulie mkeo?

Upendo huna na mkeo nyauuu wewe

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom