MFALME WETU
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 4,071
- 10,028
- Thread starter
-
- #241
Basi wewe sio mnywaji 😅Yaaan nakula bfoo kunywa Ila baada ya hapo siwezii Tena ukute sio nyama.....
Katuangusha sana, ila wahuni tushasanukia mchongo mapema tuDuuh mkuu mbususu zote hizo za jf unazotafuna hauchoki tu 😅🤣🤣🤣.
Hapo unataka dem mwingine apagawe na comment yako umle tena wengine utuachie basi 😂😂
Huyu jamaa na ajenda zake sio poa kabisa. Wengine atuachie aisee 😅😅😅 sio kila siku ni yy tu wakutafunaKatuangusha sana, ila wahuni tushasanukia mchongo mapema tu
Hamna mm ata silewii bhn[emoji3]Basi wewe sio mnywaji [emoji28]
Mimi Bar naingia saa 9 au 10 alasiri almost kila siku apo lunch unakuta tayari, usiku lazima nipate mchemsho wowote ndo nilale.
Wapo wanawake ni wapishi wazuri mno! Ukila mara moja pishi lake huchomoki..lakini ana tabia nyingine mbayaMwanamke asiyejua kupika atakuwa anajua kitu gani kingine cha kike ?
Huyo anakuwa mwanaume mwenzio tu
Mkuu Penseli 4 kwanza heshima mbele.. Nakuapia kwa mizimu ya Kilingeni Msata sijawahi kubanyuka na mnyange yeyote hapa JF.. Nawaheshimu mno na naishi maisha ya usafi wa kiroho kupita maelezoDuuh mkuu mbususu zote hizo za jf unazotafuna hauchoki tu [emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Hapo unataka dem mwingine apagawe na comment yako umle tena wengine utuachie basi [emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550]Huyu jamaa na ajenda zake sio poa kabisa. Wengine atuachie aisee [emoji28][emoji28][emoji28] sio kila siku ni yy tu wakutafuna
Upishi sio udhalilishaji, yupo sahihi moja ya kigezo cha mke wa kiafrika ni kupika.Mada za kuwadhalilisha mama na dada zetu ifike mahali zikomeshwe .. Si kila kitu akiweze vingine ni kusaidiana.. Swala la mapishi hata mwanaume anaweza kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuchangia hojaUpishi sio udhalilishaji, yupo sahihi moja ya kigezo cha mke wa kiafrika ni kupika.
Kwani watajitokeza sasa hata ukitoa 200k? Ila nikiwa mbaba nataka nije kuwa kama ww.Mkuu Penseli 4 kwanza heshima mbele.. Nakuapia kwa mizimu ya Kilingeni Msata sijawahi kubanyuka na mnyange yeyote hapa JF.. Nawaheshimu mno na naishi maisha ya usafi wa kiroho kupita maelezo
Ajitokeze mmoja atoe ithibati ya kumnyandua nitampa 200K
Sent using Jamii Forums mobile app
Unawalamba sana mi najua hilo[emoji24][emoji2827]Kwani watajitokeza sasa hata ukitoa 200k? Ila nikiwa mbaba nataka nije kuwa kama ww.
Teach me your ways Babu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Unawalamba sana mi najua hilo.
Nikutokujua na kutoelewa ila chakula Cha kuandaa mwenyewe kinakuwa bora Sana, maana unazingatia mahitaji yote ya msingi .Kumfundisha mtu ambaye anaona ufahari kula migahawani hiyo ni kazi ngumu sana,anataka apige picha chakula aweke na location unadhani Kuna jambo hapo?
Na pia ni fahari kuandaa chakula kizuri Kwa mikono Yako.....by the way sipendi mtu anayeunguza chakula wakati anaandaa🤦🤦Nikutokujua na kutoelewa ila chakula Cha kuandaa mwenyewe kinakuwa bora Sana, maana unazingatia mahitaji yote ya msingi .
Chakula ni muhimu Sana
😁😁😁🙌Na pia ni fahari kuandaa chakula kizuri Kwa mikono Yako.....by the way sipendi mtu anayeunguza chakula wakati anaandaa🤦🤦
🤣🤣Wakati mnarudi nyumbani saa 4 uck
Saa ngapi mnakula hayo mapishi?
Aisee...SawasawaNa pia ni fahari kuandaa chakula kizuri Kwa mikono Yako.....by the way sipendi mtu anayeunguza chakula wakati anaandaa🤦🤦
Hata karibu jirani..Nipo hapa nakula wali wa rice cooker
Nyiee 😂😂
B4 uishe emu nikaupost kule..
Mh!! ...Mimi sitaki kuolewa na wewe