Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Mimi sasa hivi siombi cha mtu na sina mpango kutoa vya kwangu..

Kila mtu abaki na vitu vyake.

Nina aina nyingi ya kujiridhisha.

Ila mimi mtu akiniomba au asiponiomba hela kama nina uwezo wa kumpa nampaaa.
Kwa wanaume ni ngumu kukusaidia tu bure bila yeye kupata kitu ipo hivyo. But for me naona sio lazima kumsaidia mtu mpaka ulale nae wapo nimewasidia bila kuomba mbususu Ila kuna mmoja Yule anishinda alinifanya kama mimi ni boyfriend wake yaani alikuwa ananiomba nimnunulie hadi chupi Mara pedi
 
Tunapokua tunawatusi wanawake ubu tujiulize na dada zetu iv hawapendi pesa
Iv kwa kawaida tu ungeweza kwenda arusha na kuonana nae tu bila kumuomba utelezi yuko sawa alijiongeza mapema lakin pia ilimsaidia kujua ni tapeli gan uyo alitaka kuingia nae ktk mahusiano
Yan mwanaume mziwa unaombwa elf80 unakuja kufungua uzi na kutoa malalamiko kibao
Ttzo lenu mnapenda umaraya lkn pesa za kuonga hamna
Kwanzia leo tukiwa tunawatusi wanawake tuanze kwanza kuwaza dada zetu shangaz zetu na ndg zetu wengne wa kike

Mwanaume umezaliwa kutafta na kumuudumia mwanamke sasa mwanaume unapoona majukumu yako ni km umeonewa bas ukustahili kua mwanaume
 
Hawawezi kuvumilia ndo walivyoumbwa kutamani vya wenzao, day one unamchombeza day two unapata msululu wa mahitaji kaishiwa gas, kodi anadaiwa, vocha, nk. Hapo hata mzigo hujala, Mungu awasaidie wajitambue.
Sijui kwanini wengi huishiwa gesi na siyo mkaa
 
Tunapokua tunawatusi wanawake ubu tujiulize na dada zetu iv hawapendi pesa
Iv kwa kawaida tu ungeweza kwenda arusha na kuonana nae tu bila kumuomba utelezi yuko sawa alijiongeza mapema lakin pia ilimsaidia kujua ni tapeli gan uyo alitaka kuingia nae ktk mahusiano
Yan mwanaume mziwa unaombwa elf80 unakuja kufungua uzi na kutoa malalamiko kibao
Ttzo lenu mnapenda umaraya lkn pesa za kuonga hamna
Kwanzia leo tukiwa tunawatusi wanawake tuanze kwanza kuwaza dada zetu shangaz zetu na ndg zetu wengne wa kike

Mwanaume umezaliwa kutafta na kumuudumia mwanamke sasa mwanaume unapoona majukumu yako ni km umeonewa bas ukustahili kua mwanaume
Akiwa kwao ahudumiwe na baba yake. Mimi nitampa zawadi tu nikitaka.

Nitamuhudumia akiwa mke wangu
 
UKIANZA KU-DATE NA SLAY QUEEN WA KIBONGO BASI TARAJIA HAYA:

1. BIRTHDAY LOADING....

2. SIMU IMEPASUKA KIOO...

3. WEEK HII NATAKA NIKASUKE NYWELE...

4. KODI INAISHA MWEZI UJAO.....

5. ZAMU YANGU KULIPIA UMEME NA MAJI KESHOKUTWA....

6. NATAKA NIKABADILISHE KUCHA....

7. MDOGO WANGU KAISHIWA NA ADA ANATAKIWA ARUDI CHUO...

8. KUNA KIJORA/DERA/ GAUNI JIPYA NIMELIPENDA PALE SOKONI....

9. BANDO LANGU LA WIKI LIMEISHA, NIUNGE LA MWEZI....

10. REJESHO LA KIKOBA (MCHEZO) ZAMU YANGU.....

........ETC ETC
Imeenda
 
Wanaume wenzangu mnisamehe maana Mimi siwezi kuacha watoto wazuri wateseke kwa ujinga wenu,
Mvuvi anapovua samaki anaweka chambo kwenye ndoano ila hakuna mvuvi anayempa chambo samaki ambae Yuko kwenye mtumbwi amesha mvua.
 
Mimi nina principle moja.

Usiponiomba hela, utazioga sana hela zangu.

Kosa ni ujifanye unashida snaa na hela ambazo hujazitolea jasho ndio tutakosana.

Nazidi Kumshukuru Mwenyezi Mungu nina Mwanamke anayejielewa, anazioga sana hela zangu mpk anachanganyikiwa.
 
Hapo badala ushukuru wewe ulimind? yaani hapo ndo amekusaidia kukuweka wazi yeye ni nani na level zake zikoje...

Sasa kuna wale wanaomba elfu 7 ya umeme [emoji23][emoji23] kama wale waunga groups za connection.

Yaani anything from woman chukulia positive, inakupa info flan hivi uamue unaenda naye vipi.
 
Mkuu kuna wanaume wajinga utakuta ana Mpangia chumba changudoa na kumuhudumia, na hicho chumba kinageuzwa guest.
Ni kweli ila tambua kuwa machangudoa wengi na madada wa mjini hawa hawa mnaowajuwa nyinyi wengi ni wachawi, kwanza wanarogana wenyewe kwa wenyewe kushindana kupata mabwana wengi wa kuwaweka hapa mjni, na wakipata mabwana sasa, hawaishi kushinda kwa masheikh ama wachawi kuroga hao mabwana ili wazidi kuwekwa mjini. Wanaume wengi wanajikuta wanafanya vitu vya kijinga mfano kumnunulia changudoa gari au kumpangia nyumba si kama kweli wanataka kufanya hivyo, yale ni marogo. Huwezi kuwa na akili timamu ukamfadhili changudoa, yaani mtu anayechapwa na kila mtu mtaani kwa siku zaidi ya mara 10 ili tu aishi mjini na kujibandika status kuwa yeye ni staa, hili siamini hata siku moja. Wanaume tunarogwa sana na machangudoa na michepuko. Kuweni makini sana na hawa mademu wa mjini, binafsi, siamini mwanamke zaidi ya Mama yangu na dada zangu tu.
 
ngoja nikujibu mojamoja, kua na mpenzi haimaanishi kwamba natafuta ndoa.. and by the way am too young for marriage which means I can't compete with anyone here, just was an advice to these girls ambao walikua wanatoa povu kwa mleta mada wakati kaongea kitu cha msingi... pia mitazamo yangu na yako ni tofauti cause naona kama una chuki binafsi na wanaume hadi ukaamua kua leisbian, so pole sana maana dawa yako mimi sina kipenzi...
Am Sorry kama nimetumia maneno magumu, lengo ni kukufanya tu uache kubishana na mimi kwasababu sipo kwenye hiyo mood [emoji4][emoji8]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296]
 
Back
Top Bottom