Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Hoja yangu ni kutokua serious sana na mambo ya humu, ukiona mtu kaweka comment yake isiyokupendeza wewe pita kimya kimya, kulazimisha mawazo ya wote yafanane huo ni upuuzi na kuingilia uhuru wa kujieleza,
mpe wewe maua yake kwa ndoa maana anaitafuta kwa bidii ila nimemwambia sio humu hatopata zaidi atakuja kuanikwa tu kama walotangulia.
Hii ndio akili, kuna watu wanateswa sana na miandiko humu wakati wengine tunaandika kujifurahisha tu
 
ngoja nikujibu mojamoja, kua na mpenzi haimaanishi kwamba natafuta ndoa.. and by the way am too young for marriage which means I can't compete with anyone here, just was an advice to these girls ambao walikua wanatoa povu kwa mleta mada wakati kaongea kitu cha msingi... pia mitazamo yangu na yako ni tofauti cause naona kama una chuki binafsi na wanaume hadi ukaamua kua leisbian, so pole sana maana dawa yako mimi sina kipenzi...
Am Sorry kama nimetumia maneno magumu, lengo ni kukufanya tu uache kubishana na mimi kwasababu sipo kwenye hiyo mood [emoji4][emoji8]

Walai hii comment ndio naiona leo, sikujua kama umecatch feelings namna hii wakati nilikutaka radhi mwanzo [emoji38],
Nikwambie tu 'young girl' sina chuki yoyote na mwanaume tunarudi kule kule humu tunaandika kujifurahisha you don't know shit about me, nina Baba nampenda sana, nina Makaka wanne nawapenda sanaa, nina Wajomba nawakubali kinoma, Boss wangu ni Mwanaume, circle yangu imezungukwa na Wanaume hiyo chuki naitoa wapi [emoji23][emoji23]

Kusema eti NIMEAMUA kua Lesbian tayari inaonesha huna ufahamu wowote kuhusu Sexual Orientation, au wewe ulilala ukaamua kua Heterosexual? Ridiculous right? Lol

So dear, ni kweli huna cha kunipa maana nishapewa tayari[emoji120], wewe endelea kuenjoy Jamii Forum hatujuani humu.
 
Kwahio Shida wazifiche kwanza (kabla ya commitment ambayo nayo ni ngumu zaidi) ili baadae iweje ?

Yaani muanze gharama za kumaliza kwanza kujenga msingi ili mje mjenge kuta ambazo hamjui kama ni ghorofa au nyumba ya makuti ?

All I can say put your cards on the table ili mtu / watu waamue kusuka au kunyoa.., kwa kufanya hivyo mtapunguzia watu kero za kuwachangia harusi zenu ambao mwisho wa mwaka ni divorce na kuanza kusumbua watu kwa kuelezea kero zenu....
 
Fact
 
Back
Top Bottom