Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Poleni kwa hilo ila ni ngumu kuamini.

Ila most men, unaweza kumpa penzi na mkawa vizuri, anajipakulia tu anavyotaka ila hata kujiongeza kwamba atoe hata hela ya sabuni kwa mpenzi wake wapii???

Kama unahudumia, kwanini mwanamke aanze kukuomba omba hela?
Hivi ingekuwa wanaume wanapata mzigo sawa sawa na gharama wanazohudumia unazani wangekuwa wanalalamika humu sana? Mzigo wanapewa kwa kupimiwa na sometime wanakosa kabisa shida ndio inaanzia hapo na ndio akili zao zimezinduka
 
Jisemee tu wewe kaka..

Ila wanaume wengi siku hizi hawahudumii, si familia, si watoto wao, si wapenzi wao.
 
Correct.

Vilevile mwanaume ukimpenda mwanamke na akaomba msaada wa hela, msiwe mnaona shida kutoa.

Kama hamtaki kuombwa hela, then hudumieni wapenzi wenu. Mnataka wanawake wazuri, wanaonukia, wanaopendeza mnadhani ni kazi nyepesi kupendeza,??? Kuwa mwanamke anayejipenda ni gharama.
Ndio uombe siku ya kwanza baada ya kutongozwa?

Kwa akili zenu hizi acha tu tuendelee kuuziana na kulana kimasihala baada ya hapo kila mtu kimpango wake.
 
Hao hao wa mtaani unawakuta humu jf sema wadada wengi mnakariri Maisha kila jambo unalopitia unajumlisha watu wote
Sasa unabishana na mimi ambaye nimepata experience nao.

Huoni hata wanaume humu wanatukandia sana wanawake wa jf as if tuko tofauti na wa nje.

Ni kwamba wote tukikutana huku, kuna unafiki fulani tunafanyiana either kwa sababu we judge each other kupitia posts, comments au tunadhani utakua na wengine tu humu so ni full drama.

Pia, unaweza vutiwa na posts za mtu humu halafu akawa tofauti mkionana either kimuonekano, personality, attitude, etc.
 
Diamond huyu mtoto ni wako, nimepima DNA privately nimeambiwa mtoto ni wako. Sumu ya machangudoa wote ni DNA tu, mtu unazaa na kibaka huko mitaani kwa sababu ya tamaa za kijinga eti mwisho wa siku unakuja kunipa mimi majukumu ya kutunza mtoto wa kibaka, akija kunikaba je huko mbeleni?
😂😂😂😂😂
 
Hakuna mwanaume mjinga asee ukiona kaamua kufanya hivyo basi anaajua nini anafanya kwenye mapenzi kuna upofu mbaya sana kile ww unachoona huwez fanya mwenzako ndio hasikii haambiliki na swala linalohusisha hiisia tena za moyo sio akili basi linaweza kukuchanganya muda wowote.

Muda mwingine sisi wanaume tunajisemea mwanamke hawezi nisumbua ila uhalisia ni pale anapokua mwenyewe yeye na nafsi yake unakuta anaendeshwa sana na mapenzi kwakua sio jambo rahisi kulicontroll.
Wewe umesema ukweli ambao watu wengi wanaupinga lkn uhalisia ndio huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unabishana na mimi ambaye nimepata experience nao.

Huoni hata wanaume humu wanatukandia sana wanawake wa jf as if tuko tofauti na wa nje.

Ni kwamba wote tukikutana huku, kuna unafiki fulani tunafanyiana either kwa sababu we judge each other kupitia posts, comments au tunadhani utakua na wengine tu humu so ni full drama.

Pia, unaweza vutiwa na posts za mtu humu halafu akawa tofauti mkionana either kimuonekano, personality, attitude, etc.
Wapo wanaume wa maana na wapo wasio wa maana inategemea na bahati ya namna ulivyobet
 
Back
Top Bottom