Keep it up utafika mbaliShida humu watu wanapenda sana kusapotiana ujinga ujinga... shida ni kwamba sipendi unafki, wanisamehe tu bure🤣🤣🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keep it up utafika mbaliShida humu watu wanapenda sana kusapotiana ujinga ujinga... shida ni kwamba sipendi unafki, wanisamehe tu bure🤣🤣🤭
Wako tofauti.Hawa na mtaani wana utofauti gani?
Hivi ingekuwa wanaume wanapata mzigo sawa sawa na gharama wanazohudumia unazani wangekuwa wanalalamika humu sana? Mzigo wanapewa kwa kupimiwa na sometime wanakosa kabisa shida ndio inaanzia hapo na ndio akili zao zimezindukaPoleni kwa hilo ila ni ngumu kuamini.
Ila most men, unaweza kumpa penzi na mkawa vizuri, anajipakulia tu anavyotaka ila hata kujiongeza kwamba atoe hata hela ya sabuni kwa mpenzi wake wapii???
Kama unahudumia, kwanini mwanamke aanze kukuomba omba hela?
Hao hao wa mtaani unawakuta humu jf sema wadada wengi mnakariri Maisha kila jambo unalopitia unajumlisha watu woteWako tofauti.
Jisemee tu wewe kaka..Hivi ingekuwa wanaume wanapata mzigo sawa sawa na gharama wanazohudumia unazani wangekuwa wanalalamika humu sana? Mzigo wanapewa kwa kupimiwa na sometime wanakosa kabisa shida ndio inaanzia hapo na ndio akili zao zimezinduka
Ndio uombe siku ya kwanza baada ya kutongozwa?Correct.
Vilevile mwanaume ukimpenda mwanamke na akaomba msaada wa hela, msiwe mnaona shida kutoa.
Kama hamtaki kuombwa hela, then hudumieni wapenzi wenu. Mnataka wanawake wazuri, wanaonukia, wanaopendeza mnadhani ni kazi nyepesi kupendeza,??? Kuwa mwanamke anayejipenda ni gharama.
🤣🤣🤣🤣Sahivi umeacha usagaji? Dr. Mariposa
Mbona wanaume wakiwa wana nyege wanahitaji msaada wa mbususu mnawakatalia?Yaani 10k ndo yakumnyima mtu??? Hata kama ni mtu baki anaumwa unashindwa msaidia kama uwezo nao...
Aibu gani hii???
Sasa unabishana na mimi ambaye nimepata experience nao.Hao hao wa mtaani unawakuta humu jf sema wadada wengi mnakariri Maisha kila jambo unalopitia unajumlisha watu wote
Mbona nyie mnaomba siku hiyohiyo?Ndio uombe siku ya kwanza baada ya kutongozwa?
Kwa akili zenu hizi acha tu tuendelee kuuziana na kulana kimasihala baada ya hapo kila mtu kimpango wake.
😂😂😂😂😂Diamond huyu mtoto ni wako, nimepima DNA privately nimeambiwa mtoto ni wako. Sumu ya machangudoa wote ni DNA tu, mtu unazaa na kibaka huko mitaani kwa sababu ya tamaa za kijinga eti mwisho wa siku unakuja kunipa mimi majukumu ya kutunza mtoto wa kibaka, akija kunikaba je huko mbeleni?
Ndio maana nika kwambia "acha tuendelee kuuziana na kulana kimasihala ".Mbona nyie mnaomba siku hiyohiyo?
Kwani kumsaidia mtu mpaka umle mkuu?Mbona wanaume wakiwa wana nyege wanahitaji msaada wa mbususu mnawakatalia?
Mtajua wenyeweNdio maana nika kwambia "acha tuendelee kuuziana na kulana kimasihala ".
Wewe umesema ukweli ambao watu wengi wanaupinga lkn uhalisia ndio huo.Hakuna mwanaume mjinga asee ukiona kaamua kufanya hivyo basi anaajua nini anafanya kwenye mapenzi kuna upofu mbaya sana kile ww unachoona huwez fanya mwenzako ndio hasikii haambiliki na swala linalohusisha hiisia tena za moyo sio akili basi linaweza kukuchanganya muda wowote.
Muda mwingine sisi wanaume tunajisemea mwanamke hawezi nisumbua ila uhalisia ni pale anapokua mwenyewe yeye na nafsi yake unakuta anaendeshwa sana na mapenzi kwakua sio jambo rahisi kulicontroll.
Wapo wanaume wa maana na wapo wasio wa maana inategemea na bahati ya namna ulivyobetSasa unabishana na mimi ambaye nimepata experience nao.
Huoni hata wanaume humu wanatukandia sana wanawake wa jf as if tuko tofauti na wa nje.
Ni kwamba wote tukikutana huku, kuna unafiki fulani tunafanyiana either kwa sababu we judge each other kupitia posts, comments au tunadhani utakua na wengine tu humu so ni full drama.
Pia, unaweza vutiwa na posts za mtu humu halafu akawa tofauti mkionana either kimuonekano, personality, attitude, etc.
Tatizo na nyinyi mnamind ukiomba hela na ukashindwa kupewa kama ulivyomind wa huyo wa 10kKwani kumsaidia mtu mpaka umle mkuu?
Heeee.. Kama hauna au hutaki si unasema tu. Simple
Mimi sasa hivi siombi cha mtu na sina mpango kutoa vya kwangu..Tatizo na nyinyi mnamind ukiomba hela na ukashindwa kupewa kama ulivyomind wa huyo wa 10k
Hii vita katu haitokaa iishe [emoji23][emoji23][emoji1787]Tatizo na nyinyi mnamind ukiomba hela na ukashindwa kupewa kama ulivyomind wa huyo wa 10k
Huyo alitaka kumla kisa 10k, Hapo jibu ni kumwambia bi dada sina au sitaki kukupa hela yangu.Tatizo na nyinyi mnamind ukiomba hela na ukashindwa kupewa kama ulivyomind wa huyo wa 10k