Kwa wanaume ni ngumu kukusaidia tu bure bila yeye kupata kitu ipo hivyo. But for me naona sio lazima kumsaidia mtu mpaka ulale nae wapo nimewasidia bila kuomba mbususu Ila kuna mmoja Yule anishinda alinifanya kama mimi ni boyfriend wake yaani alikuwa ananiomba nimnunulie hadi chupi Mara pediMimi sasa hivi siombi cha mtu na sina mpango kutoa vya kwangu..
Kila mtu abaki na vitu vyake.
Nina aina nyingi ya kujiridhisha.
Ila mimi mtu akiniomba au asiponiomba hela kama nina uwezo wa kumpa nampaaa.
Sijui kwanini wengi huishiwa gesi na siyo mkaaHawawezi kuvumilia ndo walivyoumbwa kutamani vya wenzao, day one unamchombeza day two unapata msululu wa mahitaji kaishiwa gas, kodi anadaiwa, vocha, nk. Hapo hata mzigo hujala, Mungu awasaidie wajitambue.
Akiwa kwao ahudumiwe na baba yake. Mimi nitampa zawadi tu nikitaka.Tunapokua tunawatusi wanawake ubu tujiulize na dada zetu iv hawapendi pesa
Iv kwa kawaida tu ungeweza kwenda arusha na kuonana nae tu bila kumuomba utelezi yuko sawa alijiongeza mapema lakin pia ilimsaidia kujua ni tapeli gan uyo alitaka kuingia nae ktk mahusiano
Yan mwanaume mziwa unaombwa elf80 unakuja kufungua uzi na kutoa malalamiko kibao
Ttzo lenu mnapenda umaraya lkn pesa za kuonga hamna
Kwanzia leo tukiwa tunawatusi wanawake tuanze kwanza kuwaza dada zetu shangaz zetu na ndg zetu wengne wa kike
Mwanaume umezaliwa kutafta na kumuudumia mwanamke sasa mwanaume unapoona majukumu yako ni km umeonewa bas ukustahili kua mwanaume
ImeendaUKIANZA KU-DATE NA SLAY QUEEN WA KIBONGO BASI TARAJIA HAYA:
1. BIRTHDAY LOADING....
2. SIMU IMEPASUKA KIOO...
3. WEEK HII NATAKA NIKASUKE NYWELE...
4. KODI INAISHA MWEZI UJAO.....
5. ZAMU YANGU KULIPIA UMEME NA MAJI KESHOKUTWA....
6. NATAKA NIKABADILISHE KUCHA....
7. MDOGO WANGU KAISHIWA NA ADA ANATAKIWA ARUDI CHUO...
8. KUNA KIJORA/DERA/ GAUNI JIPYA NIMELIPENDA PALE SOKONI....
9. BANDO LANGU LA WIKI LIMEISHA, NIUNGE LA MWEZI....
10. REJESHO LA KIKOBA (MCHEZO) ZAMU YANGU.....
........ETC ETC
Wakopaji wa siku hizi hawalipi madeni
KwendraaaaSi wote mkuu. Wakopaji waaminifu tupo... 😎
-Kaveli-
Kwendraaaa
Hiyo ni mali kauli sasa hata imezidi kwenye mkopo😂Niende wapi? hii pisi grade one nimuachie nani?
Nipo tayari hata kukopa kwa riba umiza. Zingatia hili: 'mkopaji mwaminifu'.
-Kaveli-
Bi dada unaupiga mwingi sana,Mungu akubarikiShida humu watu wanapenda sana kusapotiana ujinga ujinga... shida ni kwamba sipendi unafki, wanisamehe tu bure[emoji1787][emoji1787][emoji2960]
Amen 🙏🙏Bi dada unaupiga mwingi sana,Mungu akubariki
Sasa pesa zao zinaenda wapi?Jisemee tu wewe kaka..
Ila wanaume wengi siku hizi hawahudumii, si familia, si watoto wao, si wapenzi wao.
Ni kweli ila tambua kuwa machangudoa wengi na madada wa mjini hawa hawa mnaowajuwa nyinyi wengi ni wachawi, kwanza wanarogana wenyewe kwa wenyewe kushindana kupata mabwana wengi wa kuwaweka hapa mjni, na wakipata mabwana sasa, hawaishi kushinda kwa masheikh ama wachawi kuroga hao mabwana ili wazidi kuwekwa mjini. Wanaume wengi wanajikuta wanafanya vitu vya kijinga mfano kumnunulia changudoa gari au kumpangia nyumba si kama kweli wanataka kufanya hivyo, yale ni marogo. Huwezi kuwa na akili timamu ukamfadhili changudoa, yaani mtu anayechapwa na kila mtu mtaani kwa siku zaidi ya mara 10 ili tu aishi mjini na kujibandika status kuwa yeye ni staa, hili siamini hata siku moja. Wanaume tunarogwa sana na machangudoa na michepuko. Kuweni makini sana na hawa mademu wa mjini, binafsi, siamini mwanamke zaidi ya Mama yangu na dada zangu tu.Mkuu kuna wanaume wajinga utakuta ana Mpangia chumba changudoa na kumuhudumia, na hicho chumba kinageuzwa guest.
Mshamba hawezi kudanga mpaka kusukuma ndinga na kujenga na biashara zilizosimama!mshamba ni wewe unaediss ukute hata kigenge huna pimbi wewe!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka sana
eti bonge lafighter
nyie wadangaji tuu washamba nyiee
[emoji2296][emoji2296][emoji2296]ngoja nikujibu mojamoja, kua na mpenzi haimaanishi kwamba natafuta ndoa.. and by the way am too young for marriage which means I can't compete with anyone here, just was an advice to these girls ambao walikua wanatoa povu kwa mleta mada wakati kaongea kitu cha msingi... pia mitazamo yangu na yako ni tofauti cause naona kama una chuki binafsi na wanaume hadi ukaamua kua leisbian, so pole sana maana dawa yako mimi sina kipenzi...
Am Sorry kama nimetumia maneno magumu, lengo ni kukufanya tu uache kubishana na mimi kwasababu sipo kwenye hiyo mood [emoji4][emoji8]
[emoji38]Bado unanifokea?
Kwanini capital letters?