Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Hii ndio akili, kuna watu wanateswa sana na miandiko humu wakati wengine tunaandika kujifurahisha tu
 

Walai hii comment ndio naiona leo, sikujua kama umecatch feelings namna hii wakati nilikutaka radhi mwanzo [emoji38],
Nikwambie tu 'young girl' sina chuki yoyote na mwanaume tunarudi kule kule humu tunaandika kujifurahisha you don't know shit about me, nina Baba nampenda sana, nina Makaka wanne nawapenda sanaa, nina Wajomba nawakubali kinoma, Boss wangu ni Mwanaume, circle yangu imezungukwa na Wanaume hiyo chuki naitoa wapi [emoji23][emoji23]

Kusema eti NIMEAMUA kua Lesbian tayari inaonesha huna ufahamu wowote kuhusu Sexual Orientation, au wewe ulilala ukaamua kua Heterosexual? Ridiculous right? Lol

So dear, ni kweli huna cha kunipa maana nishapewa tayari[emoji120], wewe endelea kuenjoy Jamii Forum hatujuani humu.
 
 
Kwahio Shida wazifiche kwanza (kabla ya commitment ambayo nayo ni ngumu zaidi) ili baadae iweje ?

Yaani muanze gharama za kumaliza kwanza kujenga msingi ili mje mjenge kuta ambazo hamjui kama ni ghorofa au nyumba ya makuti ?

All I can say put your cards on the table ili mtu / watu waamue kusuka au kunyoa.., kwa kufanya hivyo mtapunguzia watu kero za kuwachangia harusi zenu ambao mwisho wa mwaka ni divorce na kuanza kusumbua watu kwa kuelezea kero zenu....
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…