Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Hata kama ni kusadikika! Lakini hoja yako haina mashiko. Hapa ni pahala pa kuelimishana si pahala pa kutetea. After all hujawahi kuwa Mwanaume ukajua masahibu yao. Naamini Leejay49 yupo sahihi. Apewe maua yake
 
Umesema vyema
 
Usingemkatalia kabisa, hapo hata wewe inaonesha ni mbabaishaji
 
Yaah alikosea sana huwezi kutana na mtu first time unampokea na matatizo lukuki,watu wanataka kusikia habari za furaha sio za matatizo......imagine mi mwenyewe ananipaga stress alianza kunung'unika
Wanaume wengi wanatembea na hisia mbaya juu ya baadhi ya wanawake kuwa wansingia kwa mahusiano kwa lengo la kuchunwa, hivyo akiona hizo dalili mapema anajikataa.

Hii imewaharibia wenye shida genuine nao wanaingizwe kwenye kundi la wachunaji..gold diga.

Kusaidiana muhimu but subiria muda mwafaka
 
Nimegundua ukizibeba sana shida mbele unakosa aibu....
 
Upendo wake unatokana na namna unavyotatua changamoto zake. Yani ataulazimisha moyo wake kukupenda kadri unavyompa vitu anavyotaka.

Mpe zaidi, akupende zaidi. Mpe kidogo, akupende kidogo. Huna uwezo wa kumpa anachotaka, na yeye hakupendi kabisa!

Nafsini mwao wanadhani hayo ni mapenzi, kumbe ki uhalisia ni Biashara. Wanajiona ni watu decent labda kwa sababu wanajishughulisha na vitega uchumi kidogo, lakini ukiangalia Metrics wanazotumia kwenye mahusiano, ni exactly the same na wanazotumia Machangudoa kwenye kazi zao.

Ukikutana na M/ke wa hivyo, we m.treat kama changudoa. Mpe anachotaka, akupe unachotaka. Huna uhitaji nae, usimpe kitu. Deal Done!
 
Watu wanashida sana lkn wanajizuia.

Hata mkiwa jinsia moja au marafiki...ukiwa na tabia ya kueleza shida zako sanaaa utaanza kukwepwa
Kama huyo ananipa stress sana,maana ananipa matatizo yake mazito siwezi hata kumtatulia,naishiwa kuwa motivation speaker,sijui huwa inampa relief maana kila muda utasikia dada D
 
Duuuh!Haya bwana !kama na my wife zenu mmeanza kuwatreat kama vyangudoa tutafika mbinguni hoi sanaa
 
Kwasasa wanawake wa hivi ni 85%.

Ukimpa pesa yaani anafurahi anatamani akupee hata barabarani, hao ni hatari sana ..ni biashara rasmi isiyo na risiti.
Kama unajali utu wako...toa pesa bila kutegemea ngono, fanya kama umesaidia maskini.

Usiuze utu wako, usinunue furaha yako...hii ndio kanuni yangu.
 
Kama huyo ananipa stress sana,maana ananipa matatizo yake mazito siwezi hata kumtatulia,naishiwa kuwa motivation speaker,sijui huwa inampa relief maana kila muda utasikia dada D
Ukiambatana na watu wa aina hiyo tegemea anguko, tembea na watu wenye maono, wapambanaji na wavumilivu.

Huyo ni dhaifu sana
 
Kama huyo ananipa stress sana,maana ananipa matatizo yake mazito siwezi hata kumtatulia,naishiwa kuwa motivation speaker,sijui huwa inampa relief maana kila muda utasikia dada D
Kuna msemo katili..
Usitembee na mavy...jisaidie jisafishe uwe huru.
Huu msemo katili lkn ndani yake una funzo
 
Hata kama ni kusadikika! Lakini hoja yako haina mashiko. Hapa ni pahala pa kuelimishana si pahala pa kutetea. After all hujawahi kuwa Mwanaume ukajua masahibu yao. Naamini Leejay49 yupo sahihi. Apewe maua yake
Hoja yangu ni kutokua serious sana na mambo ya humu, ukiona mtu kaweka comment yake isiyokupendeza wewe pita kimya kimya, kulazimisha mawazo ya wote yafanane huo ni upuuzi na kuingilia uhuru wa kujieleza,
mpe wewe maua yake kwa ndoa maana anaitafuta kwa bidii ila nimemwambia sio humu hatopata zaidi atakuja kuanikwa tu kama walotangulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…