Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
Hiki ni kipindi cha kuwa makini, kila jinsia iko na mabalaa yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulichokiandika ndicho nilichoandika, tatizo umedandia treni kwa mbele bila kuelewa inapotokea, ukiwa na komwe uwe na akili basi sio unamiliki komwe halafu unajaza makamasi,Unatafuta Ligi tu! Hapa mtu lazima uwe huru! Kuna wanaokejeli, kuna waelimisha, kuna tunaojifunza etc. Hivyo si kila msomaji au mtoa mada hayupo serious!
Ni haki yako kuhisi unavyohisi, lakini usilazimishe mawazo au mtizamo wako kwa wanawake wote wa JF. Kama ulipigwa na kitu Kizito hapa JF, usikariri kuwa kila dume ni hivyo, likewise mtu akiliwa nauli asifikiri wanawake wote wa JF ni wala nauli.
Tuheshimu mawazo ya wenzetu ili wawe huru kuwepo JF. Kwangu napenda kujifunza hapa JF!
Kupitia comment yako umewaasa wadada wenzio wajitulize ili mmpate watu wa maana na umesema una mpenzi ni wazi bado unaitafuta ndoa which is totaly okay hasa kama jua linakaribia kuzama,Ila watu 😂😂😂... aliyekwambia mimi natafuta ndoa nani?😃😃
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani shidaa zinaimbwaa mwanzo mwishoiWeekend nilikuwa Mbezi terminal kwenye mgahawa mmoja ghorofani pale, Bwn mmoja wa makamo aliketi na mama mmoja mwenye kadirio la age ya 40s, ni kama walikutana pale kufahamiana ili walianzishe, ila nilichokuwa namsikia yule mama akiongea ilikuwa ni kulalamika mwanzo mwisho mara hajui kodi ya nyumba atalipaje mwezi huu, mara mgongo unauma alipiga x-ray hana hela ya mazoezi, sikukuu zinakaribia hajui ataendaje nyumbani na watoto watavaa nini nk, mwenzake akiyumbisha mazungumzo kinamna yeye atajibu kidogo anarudi kulekule
Daaah aiseee kazi ipoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante kwa matusi ila kumbuka wewe ni mpinzani wetu maana wote (nyie lesbians) na siye (wanaume wala K) tunahangaika na akina Leejay49 ! Hivyo kwa mantiki hiyo nakusamehe. Rejea andiko lako utaona tatizo la kulamba K. Kila kiungo na dhumuni lake. Rudi njia kuuUlichokiandika ndicho nilichoandika, tatizo umedandia treni kwa mbele bila kuelewa inapotokea, ukiwa na komwe uwe na akili basi sio unamiliki komwe halafu unajaza makamasi,
😂😂
Tanzania hairuhusu ndoa za jinsi mojaKupitia comment yako umewaasa wadada wenzio wajitulize ili mmpate watu wa maana na umesema una mpenzi ni wazi bado unaitafuta ndoa which is totaly okay hasa kama jua linakaribia kuzama,
#Nohardfeelingstho 🤓🤭
Ila wewe 😂😂😂😂🙌Kupitia comment yako umewaasa wadada wenzio wajitulize ili mmpate watu wa maana na umesema una mpenzi ni wazi bado unaitafuta ndoa which is totaly okay hasa kama jua linakaribia kuzama,
#Nohardfeelingstho 🤓🤭
Kubwabwaja tena?UKiwa hujaelewa...usijibu utakosea, endelea hivyo hivyo kubwabwaja
MDANGAJI ATOE WAPI BIKIRAYote haya halafu bikra hana
Hello Mr Android 😂😂😂MDANGAJI ATOE WAPI BIKIRA
Sijisemei nasema uhalisia wangu....Nasema...unajisemea tu.
Zingatia neno...kuambatana acha mahubiri...kwanza sina team
Ni relevant kabisaHuu ujumbe ulipaswa uwe mwanzoni kabisa mwa majibu au ufunguliwe uzi wake [emoji382][emoji375][emoji374]
Hi! Mrs ios 🍏Hello Mr Android 😂😂😂
Yaani unakuwa unaogopa hadi kumtafuta🤣🤣💔Daaah aiseee kazi ipoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ngoja nikujibu mojamoja, kua na mpenzi haimaanishi kwamba natafuta ndoa.. and by the way am too young for marriage which means I can't compete with anyone here, just was an advice to these girls ambao walikua wanatoa povu kwa mleta mada wakati kaongea kitu cha msingi... pia mitazamo yangu na yako ni tofauti cause naona kama una chuki binafsi na wanaume hadi ukaamua kua leisbian, so pole sana maana dawa yako mimi sina kipenzi...Kupitia comment yako umewaasa wadada wenzio wajitulize ili mmpate watu wa maana na umesema una mpenzi ni wazi bado unaitafuta ndoa which is totaly okay hasa kama jua linakaribia kuzama,
#Nohardfeelingstho 🤓🤭
Hi! Mrs ios 🍏
Siku ya kwanza kuingia JF nilikutana na thread yako😅😅Hi! Mrs ios
Oooh aisee nilikuwa sijui kumbe...Siku ya kwanza kuingia JF nilikutana na thread yako😅😅
legend, brother
Kwani we gender gani? Tuanzie hapo kwanzaHi dear, nataka nikusahishe kama wewe ni mgeni humu, jf hua kuna ugomvi usioisha kati ya Me na Ke, ndio maana ukiona Me kaleta mada yake humu haijalishi basi Ke huicrush na Ke ni hivyo hivyo,
Kitu sijakielewa ni Ke kusapoti hiyo gender iliyokosa akili na utu, usiamini kila kinacholetwa humu, kama huyo mtoa mada unakuta mada yake ni ya kusadikika, na wengine wanapita nayo hivyo hivyo kuchangamsha genge,
Wewe kama unaitafuta ndoa kazana ila hakuna Me wa maana humu, wengi wananuka shida utosini hadi nyayoni, kwenda against your own gender hakukupi credit ya kuolewa na mwanaJF,
Thank you.