Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Hi dear, nataka nikusahishe kama wewe ni mgeni humu, jf hua kuna ugomvi usioisha kati ya Me na Ke, ndio maana ukiona Me kaleta mada yake humu haijalishi basi Ke huicrush na Ke ni hivyo hivyo,

Kitu sijakielewa ni Ke kusapoti hiyo gender iliyokosa akili na utu, usiamini kila kinacholetwa humu, kama huyo mtoa mada unakuta mada yake ni ya kusadikika, na wengine wanapita nayo hivyo hivyo kuchangamsha genge,

Wewe kama unaitafuta ndoa kazana ila hakuna Me wa maana humu, wengi wananuka shida utosini hadi nyayoni, kwenda against your own gender hakukupi credit ya kuolewa na mwanaJF,

Thank you.
Acha kuomba omba dada
 
ngoja nikujibu mojamoja, kua na mpenzi haimaanishi kwamba natafuta ndoa.. and by the way am too young for marriage (am only 22) which means I can't compete with anyone here, just was an advice to these girls ambao walikua wanatoa povu kwa mleta mada wakati kaongea kitu cha msingi... pia mitazamo yangu na yako ni tofauti cause naona kama una chuki binafsi na wanaume hadi ukaamua kua leisbian, so pole sana maana dawa yako mimi sina kipenzi...
Am Sorry kama nimetumia maneno magumu, lengo ni kukufanya tu uache kubishana na mimi kwasababu sipo kwenye hiyo mood 😊😘
Achana nae huyo dada lesbobo aka ladies and gentlemen! Ana hasira na wanaume mpaka kaamua kuwa huko aliko,anasema no hard feelings wakati maneno yake yanaonesha ana hard feelings za hatari kabisa! Afanye yooote ku bleed ataendelea kubleed mpaka anafika menopouse,na kamwe hatakuja kumiliki li.boloh! Age flani ikifika atarudi mwenyewe church mikono nyuma na mayai yote yatakuwa yameshaisha amekaangia chips kwa wanawake wenzake!
 
Sometimes kama yupo vizuri, ila sometimes hadi hua nawaza atakua na shida mahali🤣🤣🤣... inaonekana yuko depressed sana, hajiamini na lifestyle yake🤦‍♀️🤦‍♀️
 
Sometimes kama yupo vizuri, ila sometimes hadi hua nawaza atakua na shida mahali🤣🤣🤣... inaonekana yuko depressed sana, hajiamini na lifestyle yake🤦‍♀️🤦‍♀️
Ukishakuwa mtu wa vile kibongo bongo huwezi kuwa na amani na hiyo lifestyle! Amani full huwa wanaipata wanapokutana na LGBTQ wenzao kwenye vile vi party vyao! Wanakula kunywa na kusaza,ila wakishatoka hapo ni majuto makuu na kutokujiamini!! In short wako depressed sana ndo mana either unawakuta ni wapole sana hawana noma au ukimkuta wa kujifaragua ni ana jifaragua kweli kweli aonekane nae ana amani,kumbe walaa!! Ni wa kuwaonea huruma tu na kuwaombea!! No way
 
Kwakweli tunatakiwa kuwaombea sana🤝
 
Nakumbuka niliwahi kuingia kwenye mahusiano na binti mmoja wa ki Arusha ambae tulijuana kupitia social media, yeye alikua Arusha na mimi nilikua Dar es salaam

Huyu binti kwanza alikua ananikera kitu kimoja, anapenda sana video call sasa sijui alikua anataka kugundua nini

Ingawa nilikua sipendi lakini nikaona anyway kwakua ndo tumeanza mahusiano wacha nimlizishe

Hali hiyo haikunisumbua sana mana nikajua kadri tutakavyozoeana nitamueleza ukweli kwamba mimi sio mpenzi sana wa video call

Tulipanga kuonana na nilimuahidi kwamba ningeenda Arusha kuonana nae

Huyu binti alinivunja moyo kitu kimoja, kabla hata sijaenda kuonana nae kwa mara ya kwanza akanipiga mzinga wa 80k akidai kioo cha simu yake kimepasuka hivyo anataka akakibadirishe.

Alivyonambia hivyo tu nikaona hapa hamna mtu, yani hata kuonana physically kwa mara ya kwanza bado hatujaonana lakini nishapewa invoice ya 80k wakati yeye mwenyewe anafanya kazi na ana kipato.

Nilikua na uwezo wa kumpa ile hela lakini niliona mbona mapema sana kashaanza kuleta matatizo yake it means yupo after something.

Huyu binti nilimkatia mawasiliano 100% mana niliona hana tofauti na Golddigger na safari yenyewe nilii cancel

Ni kweli wanawake mnahitaji kuhudumiwa na wawanaume ila jitahidini kuficha shida zenu mwanzoni tu mwa mahusiano mana mtajikuta watu wanapiga kisha wanatembea yani ni kama vile kununua malaya Riverside kisha kila mtu anachukua hamsini zake.
aise wengine ni wagonjwa hatari kila ukiomba mbususu anaumwa tu kila ukijaribu kuomba appointment ya mgegedo pisi inagonjeka tu.....

Nani ataoa mgonjwa sasa
 
Nyota njema huonekana asubuhi,yaani kama unaona burden mwanzoni yakumsaidia mwanamke au kufanya majukum yako kama mwanaume ndo kwenye hiyo ndoa utaweza?,wacha maneno yako we huna hela tafuta sana la sivyo utaacha sana wanawake kwa ubahili wako..Najua wabahili wenzio watatokwa povu mno.
We jidanganye nyie ndio wale wanawake ukiona mwanaume ana kupa pesa kwenye uchumba mnategeshea mimba kwa kutarajia kuolewa au ukikosa ndoa upate pesa za matunzo ya mtoto, mwisho wa siku mnabakia kuwa single mother na kuwasukumizia majukumu wanaume wengine.
 
Achana nae huyo dada lesbobo aka ladies and gentlemen! Ana hasira na wanaume mpaka kaamua kuwa huko aliko,anasema no hard feelings wakati maneno yake yanaonesha ana hard feelings za hatari kabisa! Afanye yooote ku bleed ataendelea kubleed mpaka anafika menopouse,na kamwe hatakuja kumiliki li.boloh! Age flani ikifika atarudi mwenyewe church mikono nyuma na mayai yote yatakuwa yameshaisha amekaangia chips kwa wanawake wenzake!
Afanye afanyavyo atakojoa amechuchumaa akijaribu kusimama atajikojolea [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom