Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Unatafuta Ligi tu! Hapa mtu lazima uwe huru! Kuna wanaokejeli, kuna waelimisha, kuna tunaojifunza etc. Hivyo si kila msomaji au mtoa mada hayupo serious!

Ni haki yako kuhisi unavyohisi, lakini usilazimishe mawazo au mtizamo wako kwa wanawake wote wa JF. Kama ulipigwa na kitu Kizito hapa JF, usikariri kuwa kila dume ni hivyo, likewise mtu akiliwa nauli asifikiri wanawake wote wa JF ni wala nauli.

Tuheshimu mawazo ya wenzetu ili wawe huru kuwepo JF. Kwangu napenda kujifunza hapa JF!
Ulichokiandika ndicho nilichoandika, tatizo umedandia treni kwa mbele bila kuelewa inapotokea, ukiwa na komwe uwe na akili basi sio unamiliki komwe halafu unajaza makamasi,
😂😂
 
Weekend nilikuwa Mbezi terminal kwenye mgahawa mmoja ghorofani pale, Bwn mmoja wa makamo aliketi na mama mmoja mwenye kadirio la age ya 40s, ni kama walikutana pale kufahamiana ili walianzishe, ila nilichokuwa namsikia yule mama akiongea ilikuwa ni kulalamika mwanzo mwisho mara hajui kodi ya nyumba atalipaje mwezi huu, mara mgongo unauma alipiga x-ray hana hela ya mazoezi, sikukuu zinakaribia hajui ataendaje nyumbani na watoto watavaa nini nk, mwenzake akiyumbisha mazungumzo kinamna yeye atajibu kidogo anarudi kulekule
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani shidaa zinaimbwaa mwanzo mwishoi
 
Ulichokiandika ndicho nilichoandika, tatizo umedandia treni kwa mbele bila kuelewa inapotokea, ukiwa na komwe uwe na akili basi sio unamiliki komwe halafu unajaza makamasi,
😂😂
Asante kwa matusi ila kumbuka wewe ni mpinzani wetu maana wote (nyie lesbians) na siye (wanaume wala K) tunahangaika na akina Leejay49 ! Hivyo kwa mantiki hiyo nakusamehe. Rejea andiko lako utaona tatizo la kulamba K. Kila kiungo na dhumuni lake. Rudi njia kuu
 
Kupitia comment yako umewaasa wadada wenzio wajitulize ili mmpate watu wa maana na umesema una mpenzi ni wazi bado unaitafuta ndoa which is totaly okay hasa kama jua linakaribia kuzama,

#Nohardfeelingstho 🤓🤭
ngoja nikujibu mojamoja, kua na mpenzi haimaanishi kwamba natafuta ndoa.. and by the way am too young for marriage which means I can't compete with anyone here, just was an advice to these girls ambao walikua wanatoa povu kwa mleta mada wakati kaongea kitu cha msingi... pia mitazamo yangu na yako ni tofauti cause naona kama una chuki binafsi na wanaume hadi ukaamua kua leisbian, so pole sana maana dawa yako mimi sina kipenzi...
Am Sorry kama nimetumia maneno magumu, lengo ni kukufanya tu uache kubishana na mimi kwasababu sipo kwenye hiyo mood 😊😘
 
Hi dear, nataka nikusahishe kama wewe ni mgeni humu, jf hua kuna ugomvi usioisha kati ya Me na Ke, ndio maana ukiona Me kaleta mada yake humu haijalishi basi Ke huicrush na Ke ni hivyo hivyo,

Kitu sijakielewa ni Ke kusapoti hiyo gender iliyokosa akili na utu, usiamini kila kinacholetwa humu, kama huyo mtoa mada unakuta mada yake ni ya kusadikika, na wengine wanapita nayo hivyo hivyo kuchangamsha genge,

Wewe kama unaitafuta ndoa kazana ila hakuna Me wa maana humu, wengi wananuka shida utosini hadi nyayoni, kwenda against your own gender hakukupi credit ya kuolewa na mwanaJF,

Thank you.
Kwani we gender gani? Tuanzie hapo kwanza
 
Back
Top Bottom