Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Okay.....Alikuwa bonge la fighter yaani ila maisha hayatabiriki,story yake ni very touching...... mahusiano ya ndoa ndio yamemfikisha hapo
KUna wakati yaliyopita hayakubebi....kwasasa una beba nini kichwani na moyoni?

Imeandikwa... hata sasa ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu...hata sasa..zingatia hili
 
Unatafuta Ligi tu! Hapa mtu lazima uwe huru! Kuna wanaokejeli, kuna waelimisha, kuna tunaojifunza etc. Hivyo si kila msomaji au mtoa mada hayupo serious!

Ni haki yako kuhisi unavyohisi, lakini usilazimishe mawazo au mtizamo wako kwa wanawake wote wa JF. Kama ulipigwa na kitu Kizito hapa JF, usikariri kuwa kila dume ni hivyo, likewise mtu akiliwa nauli asifikiri wanawake wote wa JF ni wala nauli.

Tuheshimu mawazo ya wenzetu ili wawe huru kuwepo JF. Kwangu napenda kujifunza hapa JF!
 
Ila watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚... aliyekwambia mimi natafuta ndoa nani?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
KUna wakati yaliyopita hayakubebi....kwasasa una beba nini kichwani na moyoni?

Imeandikwa... hata sasa ufalme wa Mungu unatekwa na wenye nguvu...hata sasa..zingatia hili
Hapana,sikuungi mkono hata kidogo kwenye hili,mwenzako akianguka sio unampa farewell,, haiwezekani,hiyo ni type ya mtu unaemjali akiwa na kitu au ukiwa unabenefit kitu kwake,,, Kwenye maisha Kuna seasons,kiangazi,masika,kipupwe na vuli....Huwa namwambiaga kila siku,unapitia Haya purposely Mungu anataka akuonyeshe true colors ya watu wako wa Karibu,na kaziona....Mapenzi na Imani aliyomwamini mume wake ndio imemfikisha hapo,amekata mtaji,na kabaki na deni kubwa benki
 
Hujanielewa hadi utakaponielewa.
Na sijamaanisha ulivyomaanisha.
 
Tofautisha kuambatana na kusaidia...ndipo utanielewa
 
Tofautisha kuambatana na kusaidia...ndipo utanielewa
Niko tofauti kidogo,Sina namna ya kumsaidia financially,ila siwezi kukosa kumpa faraja.... sometime tunahitaji watu wa kutuambia tu it's okay litapita hili.....simple tu hainicost chochote to be a good person
 
Huko sio kuambatana...una safari ndefu kunielewa
 
Nimesha tubu kwanzia leo vizinga basi.
 
Tuko tofauti,Ina maana wewe ni type ya watu mnaotaka only team winners right? life Ina upside down nyingi sana, ,you never know kesho destiny Yako ikoje....Huwezi kuwa mjanja muda wote....be good haikupunguzii chochote
Nasema...unajisemea tu.
Zingatia neno...kuambatana acha mahubiri...kwanza sina team
 
Tuko tofauti,Ina maana wewe ni type ya watu mnaotaka only team winners right? life Ina upside down nyingi sana, ,you never know kesho destiny Yako ikoje....Huwezi kuwa mjanja muda wote....be good haikupunguzii chochote
UKiwa hujaelewa...usijibu utakosea, endelea hivyo hivyo kubwabwaja
 
Dogo anakuwaga na akili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…