Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Wanawake jitahidini kutoweka wazi shida zenu mapema mnapoingia kwenye penzi jipya

Tafuta pesa kijana[emoji36] Hivi kweli elfu 80 ni hela ya kunung'unika adi uvunje mahusiano na mtu unayesema unampenda?Je kuhudumia familia utaweza kweli ukiwa nayo maana vya kwenye familia gharama zinatiririkaga automatically mara mtoto aumwe mke ameze mswaki yaani tafrani hahaa.
Ngamia kwa kujichoresha ??
 
Hiyo ni mbinu moja wapo kumweka mbali mwanaume usiyemtaka.

Unampiga mzinga unatulia.

Tatizo most men mnaona mna haki ya kuomba sex earlier kabisa in the relationship pengine hata siku ya pili kujuana ila mwanamke akikuomba hela kidogo tu... Weeeeee mnamaindiiii[emoji23][emoji23]. Na mnapenda kutangaza mkiombwa hela hahahaha mbona sisi tunawasitirii,..
Nyie wadada mkiombwa sex mapema na wanaume mnaowapenda, hamuoni shida kuwapa papuchi ndani ya masaa, ila mkiombwa sex na wanaume msiowataka, mnakuwa wakali na kuanza kulaumu hao wanaume, na kuanza kuwawekea vikwazo na demands nyingi @suzie_barbie
 
Urithi wa bibi ndio unaoleta yote hayo [emoji1787][emoji1787]
Ila sagodi alitupendelea kutuwekea kile kitufe tunatamba tyuuu!! [emoji2222][emoji2222]
Inategemea na mwanaume unaekutana nae, na mvuto ulionao, uwe na sura mbovu half flat screen, utegemee utanichuna, hehee mbona utakula vumbi Lamomy
 
Wanajidhalilisha sana ndio maana wengine tukishaona vizinga vingi tunapiga na kusepa
Wewe uendelee tu kupata hao mademu wazee wa vizinga mana mwenyewe unadai huna muda wa kutulia na mwanamke, hutaki ndoa ni mzee wa chapa ilale so hao hao ndio wanakufaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi mmoja nilipomwambia tuonane tu akaumwa akataka 10 aende hospital nikamwambia sina nikachezeq block [emoji1787][emoji1787]. Siku hizi demu akiomba hela mapema na mir naomba mzigo nakula mbususu nalala mbele
Ukiona hivyo ujue hupendwi ndugu yangu. Mtu akikupenda kwanza anakua na huruma hawezi tanguliza shida zake mbele kiasi hicho. Tafakari, chukua hatua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie wadada mkiombwa sex mapema na wanaume mnaowapenda, hamuoni shida kuwapa papuchi ndani ya masaa, ila mkiombwa sex na wanaume msiowataka, mnakuwa wakali na kuanza kulaumu hao wanaume, na kuanza kuwawekea vikwazo na demands nyingi @suzie_barbie
Correct.

Vilevile mwanaume ukimpenda mwanamke na akaomba msaada wa hela, msiwe mnaona shida kutoa.

Kama hamtaki kuombwa hela, then hudumieni wapenzi wenu. Mnataka wanawake wazuri, wanaonukia, wanaopendeza mnadhani ni kazi nyepesi kupendeza,??? Kuwa mwanamke anayejipenda ni gharama.
 
Mi mmoja nilipomwambia tuonane tu akaumwa akataka 10 aende hospital nikamwambia sina nikachezeq block [emoji1787][emoji1787]. Siku hizi demu akiomba hela mapema na mir naomba mzigo nakula mbususu nalala mbele
Yaani 10k ndo yakumnyima mtu??? Hata kama ni mtu baki anaumwa unashindwa msaidia kama uwezo nao...

Aibu gani hii???
 
Nakumbuka niliwahi kuingia kwenye mahusiano na binti mmoja wa ki Arusha ambae tulijuana kupitia social media, yeye alikua Arusha na mimi nilikua Dar es salaam

Huyu binti kwanza alikua ananikera kitu kimoja, anapenda sana video call sasa sijui alikua anataka kugundua nini

Ingawa nilikua sipendi lakini nikaona anyway kwakua ndo tumeanza mahusiano wacha nimlizishe

Hali hiyo haikunisumbua sana mana nikajua kadri tutakavyozoeana nitamueleza ukweli kwamba mimi sio mpenzi sana wa video call

Tulipanga kuonana na nilimuahidi kwamba ningeenda Arusha kuonana nae

Huyu binti alinivunja moyo kitu kimoja, kabla hata sijaenda kuonana nae kwa mara ya kwanza akanipiga mzinga wa 80k akidai kioo cha simu yake kimepasuka hivyo anataka akakibadirishe.

Alivyonambia hivyo tu nikaona hapa hamna mtu, yani hata kuonana physically kwa mara ya kwanza bado hatujaonana lakini nishapewa invoice ya 80k wakati yeye mwenyewe anafanya kazi na ana kipato.

Nilikua na uwezo wa kumpa ile hela lakini niliona mbona mapema sana kashaanza kuleta matatizo yake it means yupo after something.

Huyu binti nilimkatia mawasiliano 100% mana niliona hana tofauti na Golddigger na safari yenyewe nilii cancel

Ni kweli wanawake mnahitaji kuhudumiwa na wawanaume ila jitahidini kuficha shida zenu mwanzoni tu mwa mahusiano mana mtajikuta watu wanapiga kisha wanatembea yani ni kama vile kununua malaya Riverside kisha kila mtu anachukua hamsini zake.
Mademu wa kibongo ni michosho tu, mnakutana leo hii mchana na mnapeana namba ya simu....utashangaa usiku anakupigia simu huku akilia eti mwenye nyumba anataka kumtimua usiku ule ule anomba milioni 10 kodi ya mwaka mzima. Akiwa na busara atasubiri mpaka kesho ndipo akupigie simu na kukuambia kachoka kutembea anataka umnunulie Range.
 
Tafuta pesa kijana[emoji36] Hivi kweli elfu 80 ni hela ya kunung'unika adi uvunje mahusiano na mtu unayesema unampenda?Je kuhudumia familia utaweza kweli ukiwa nayo maana vya kwenye familia gharama zinatiririkaga automatically mara mtoto aumwe mke ameze mswaki yaani tafrani hahaa.
Elfu 80 kwako ni pesa ya kawaida sanaaa..!!!
Hongera sanaa Binti.

#YNWA
 
Tafuta pesa kijana[emoji36] Hivi kweli elfu 80 ni hela ya kunung'unika adi uvunje mahusiano na mtu unayesema unampenda?Je kuhudumia familia utaweza kweli ukiwa nayo maana vya kwenye familia gharama zinatiririkaga automatically mara mtoto aumwe mke ameze mswaki yaani tafrani hahaa.
Suala hapa ni changudoa si mke......kumbuka changudoa hana thamani na haghalamiwi hata siku moja because yeye kaamua kuwa mpambanaji wa kimwili tayari.
 
"Baby tuma na ya kutolea"

-Kaveli-
Diamond huyu mtoto ni wako, nimepima DNA privately nimeambiwa mtoto ni wako. Sumu ya machangudoa wote ni DNA tu, mtu unazaa na kibaka huko mitaani kwa sababu ya tamaa za kijinga eti mwisho wa siku unakuja kunipa mimi majukumu ya kutunza mtoto wa kibaka, akija kunikaba je huko mbeleni?
 
Back
Top Bottom