STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,247
Utasikia humalizi tu....Jamani nusu saa bado upo tu
huchoki....We mwanaume robo saa si tayari
unanikomoa?? Nani akukomoe wewe!! We
Mwanaume hiyo ndo style gani.... Nani kakufundisha
hii mbona hatujawahi kufanya..... Sasa haya Mapenzi
au Interview??? Yaani muda wote mnapepeta ye anauliza maswali tu kama OCD wa Polisi Mabatini, sasa
raha utasikia saa ngapi??? Mwanaume anajipinda ili
akufikishe wewe umekazana na Questionnaire
yako....Mara kidogo filimbi hiyo.....utasikia Maliza
bwana mi nimechoka..Yaani kauliza maswali
weeeeeee, halafu anakwambia Maliza....Dah,ukute we ndo kwanza uko Chalinze, unaambiwa maliza,sasa sijui
utafika Ubungo Stendi na Ungo.... Kwakweli, kama uko
hivi, sishangai Jama akicheat, kosa ni lako mwenyewe!