Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 5,715
- 13,739
hii inasababishwa na nini mkuu au ni kwa sababu ya umasikini uliopitiliza (absolute poverty)Hahaa nimeona Geita hii kitu kuna mshkaji wangu yeye alienda tu kazini kurudi alikuta tu vumbi ndani.
Usiombe mwanamke awe ni wa Sengerema hao ni hatari weka mbali na watoto.
Sifahamu mkuu, ila kesi za hivyo zipo sana kanda ya ziwa. Hujasema uongo, sijajua shida ni nini.hii inasababishwa na nini mkuu au ni kwa sababu ya umasikini uliopitiliza (absolute poverty)
🤣🤣Hahaa nimeona Geita hii kitu kuna mshkaji wangu yeye alienda tu kazini kurudi alikuta tu vumbi ndani.
Usiombe mwanamke awe ni wa Sengerema hao ni hatari weka mbali na watoto.
Ushamba!hii inasababishwa na nini mkuu au ni kwa sababu ya umasikini uliopitiliza (absolute poverty)
usicheke mkuu unahisi tatizo ni nini mkuu nataka tupate solutions ili tuweze kuwasaidia vijana wenzetu wapambanaji
Sina neno mkuuusicheke mkuu unahisi tatizo ni nini mkuu nataka tupate solutions ili tuweze kuwasaidia vijana wenzetu wapambanaji
Hapana, wapo huko Iringa kwenuNa kwenyewe huko kanda ya ziwa kuna wanawake wakuoa
wapo mkuu ila kwenye ishu ya mapenzi unatakiwa umfundishe kila kitu ....usipokuwa mvumilivu unaweza kumtimua mapema sanaNa kwenyewe huko kanda ya ziwa kuna wanawake wakuoa
Kanda ya ziwa ndio wapi. Yaani kuanzia Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu na Mara watu wafanane tabia?Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.
Sasa tatizo limekuwa ni hili kijana anaamua kutafuta mwenza wa kusogeza nae maisha na hapa ndipo tatizo huanzia, ikitokea kijana akayumba kidogo kiuchumi na akaamua kusafiri safari ya mbali kwa lengo la kutafuta fursa, mwanamke atasafisha kila kitu na kuuza au kukimbilia kwao.
Nimekutana na kesi nyingi sana za aina hii, sasa nauliza wanawake wa kanda ya ziwa je, hii inasababishwa na ujinga ama umasikini?
geita na simiyu pamoja na mwanza kidogoKanda ya ziwa ndio wapi. Yaani kuanzia Kagera, Geita, Shinyanga, Simiyu na Mara watu wafanane tabia?
Kanda ya ziwa sehemu gani?Maana kesi za wajinga wa sehemu fulani wanasingiziwa wote.Itaje hiyo sehemu.Hili tatizo nimekuwa nikikutana nalo sana huku Kanda ya ziwa. Vijana wengi wa kiume wanapofika Kanda ya Ziwa hasa ule msemo wetu wa kujitafuta na Mungu akawawezesha hununua samani za ndani na kuanza maisha aidha kwa kujenga au kupanga.