passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
Mkuu LoadingRejea maandiko vizuri hakuna mwanaume wa mwanamke
Hapa ndipo napokupinga.
ILA andiko lako zuri.
Nilikuwa naongea na mwalimu wangu kuhusu watu kuwa kwenye “cohabitation “
akasema hivi, mwanamke na mwanaume huwa wanaingia kwenye mahusiano na kuishi pamoja wakitegemea kwamba wajuane vzuri na baadae waingie kwenye ndoa.
ila kinachoshangaza ni kuwa wanawake na wanaume wengi ambao hupitia kipindi hichi 60% huishia break up( kuvunja mahusiano)
Kwa sababu hakuna binding commitment kati yenu.
Nikajaribu kutafakari nikasema kwa kiasi kikubwa wanaume wengi wanwake tulioanza nao hatujawa oa.
akasema ndio maana vijana wa sasahiv ndoa zenu nyingi hazidumu tofauti na za wazee zamani.
Lina ukweli hili?